@imaniwinchislaus: #daressalaam #dodoma#Arusha#Moro#Mwanza Team yetu ipo maeneo yote hayo @imani_creativity_innovation @iman_gypsum_decoration ☑️tunatengeneza nyumba mpya na tunafanya repair za nyumba ambazo zimeisha poteza mvuto na kurudisha mvuto mpya wa nyumba yako kama ifuatavyo; 🟢Gypsum design (curtain box) 🟢 Painting (kupaka rangi za nje na ndani) 🟢Tiles installation 🟢moulding design (cement,powder) 🟢Sikimming (powder,cormix) 🟢Tv show case (wallpannel,gypsum) ☑️Tunatembelea site mikoa yote na kutoa makadilio sahihi kwa mteja ☑️Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania🇹🇿 KARIBU SANA NA WASILIANA NASI Caall and Whatssap us ⚪️0789053916📱 ⚪️0621014018📞 https://whatsapp.com/channel/0029Vb4WxxoJ93wNzPZ7UJ2S
Imani gypsum decoration
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 04:53:53 GMT
Music
Download
Comments
Official Osmani :
Hivi nyumba mpka inafika hatua hii unatumia kiasi gn
2026-06-23 13:17:27
15
Babu Ema :
najiungamanisha na hizi baraka kabla 2028 nitakuwa na ya kwangu kama hiii
2026-06-23 17:47:24
77
rechomrutu :
nyumba Ni nzuri Ila taa badilisha
2026-06-24 06:03:31
8
Kimwanya ruti🍯 :
Najiunganishaa n baraka Izi 🙏😍
2026-06-23 18:47:54
7
jumsuti kali :
hii kama pumuwani Moshi
2026-08-05 18:32:01
1
💞PRINCE👍DIDAH💦 :
naomba Ramani yake
2026-07-30 10:52:04
0
MNYALUKOLO COLLECTION :
Kwan wenzety mpk mnafika hapa ni mnafanya nini 😭😭😭😭🙌hongera mwenye nyumba umeweza
2026-06-26 08:10:50
0
Grace Charles :
mungu ipo siku nitaingia katikabumiliki kama huo
2026-07-23 11:46:41
0
Judith Jackson :
hongera sana♥️
2026-06-24 17:13:48
1
user9743320073097 :
Nauliza decorations na plasta ni fundi mmoja au ni tofaut
2026-06-24 04:57:07
2
it'sreeey🌸🍫🥰 :
mtu anasema najiunganisha na baraka hizi alf asubuh mpk jion yupo kwa bed kalala😂😂😂😂
2026-07-20 13:00:55
1
theresiya :
eeeh, MUNGU, BABA, NAJIUNGAMANISHA, NA, hizi,BALAKA, 2026🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-23 16:05:20
6
user4940751120848 :
mungu nijaaliye na miye niwe miongoni mwa hili 🤲
2026-06-23 17:44:47
3
Zenais Comu :
fundi wap
2026-06-26 10:21:23
1
Esther Mfikwa :
najiungamanisha na hizi baraka 2027 ntakuwa nimeshahamia kwangu pazuri kama hapo
2026-06-25 09:49:47
2
mummyloh🥰 :
mungu nikumbuke na mim
2026-06-25 17:42:20
1
Pacha shi..... :
mungu ni mwema maan mpk umefika umepambn sn
2026-06-25 06:31:40
1
AZIZA MGAMBO :
hongera zake, inshallah!!!
2026-06-23 18:03:46
2
APRILFASO APRIL 🇹🇿🇨🇻🇧🇳 :
mungu na mm nipe kama hii tu basi 🙏🙏🙏
2026-06-24 12:44:54
1
Tatumamudy :
ameni😭😭😭❤️
2026-06-23 16:22:18
1
skip :
Namva ya simu ya fundi tafadhali
2026-06-23 18:52:17
1
Greener :
Eee mungu wangu Nakuomba Na mimi nikumbuke ,ata kidogo baba 😢Asante baba kwa kila kitu
2026-06-25 19:32:46
1
flr :
Fundi anajua alaf anajua tena wow wow🥰🥰🥰🥰
2026-06-23 18:47:57
2
elizabetiulotus :
Najiungamanisha na Baraka hii katika Jina la YESU Kristo AMEN 🙏
2026-06-24 10:03:28
1
Tatu Kipanga :
habary,naomba ramani ya hii
2026-06-23 06:07:53
0
To see more videos from user @imaniwinchislaus, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.