@pastor.kennedy.th: KABLA HUJAKATA TAMAA NA NDOA YAKO, SIKILIZA HUU UJUMBE ❤️ Ndoa ni agano linalohitaji upendo, uvumilivu na kujitoa. Usikubali changamoto zikufanye uvunje kile ulichoahidi kukilinda. Acha akuache yeye kama ameamua kuondoka, lakini wewe usiwe sababu ya kuvunjika kwa ndoa yako. Mtu anayekuheshimu na kukuthamini ni wa thamani sana — mlinde na umthamini.
Pastor Kennedy Thomas
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 05:30:56 GMT
Music
Download
Comments
Scola Nanyaro :
Raha sana jaman kuwa na mwanaume mwenye hofu ya Mungu nakuomba sana Mungu umbadilishe mume wangu aache zinaa
2026-06-23 14:52:56
16
phinar :
hakika nmemuon mungu katik hilo
2026-06-23 18:56:36
4
Veronica Zanzibar :
very truely
2026-06-23 19:41:47
2
Joelle km food :
thank you
2026-06-23 18:54:47
1
Anita :
true
2026-06-23 19:03:16
1
Mercyline Rehema :
amen 🙏🙏🙏
2026-06-23 19:29:46
1
Tina Amelye :
Amen
2026-06-23 18:56:48
1
Uarid :
aminaa
2026-06-23 19:17:40
1
Massy Rich 🎶🎼🥁 🎻 ♊ :
AMEN nishaachwa
2026-06-23 19:07:33
1
LAVIN :
Amen🙏🏾🔥
2026-06-23 19:40:48
1
Niyubahwe Nadine :
asante mtumishi
2026-06-23 18:25:36
1
Furaha Fubusa :
amen amen
2026-06-23 19:15:10
1
user65431040966088 :
amina
2026-06-23 18:23:36
1
Neema :
Kweli kabisa
2026-06-23 19:48:35
1
j.Expensive💦 :
Amen
2026-06-23 18:13:32
1
Majidy Ally :
Alhamdullilah mchungaji
2026-06-23 20:22:38
1
Aika :
hii nimejionea kabisa kwenye familia
2026-06-23 19:54:32
2
munillah collection :
subraa n ibaada kubwa sanaaa!!
2026-06-23 16:55:11
2
florah :
baba naomba no yako, nitakubaliana na ushauri wako baba
2026-06-23 14:02:39
3
Shazmena herman :
lakini mungu hajasema uvumilie mpaka mwisho kama huwezi na hutaki pia....
2026-06-23 19:56:59
1
rose kiswaga :
amina
2026-06-23 16:51:03
1
miss♎️-celine❤️🩹❣️ :
amina
2026-06-23 17:32:35
1
user36606269561556 :
amin
2026-06-23 15:28:43
1
Irene Fabian :
ameeeeeeeen
2026-06-23 16:22:43
1
Linet khonde :
Ameeen 🙏
2026-06-23 17:14:34
1
To see more videos from user @pastor.kennedy.th, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.