@mwl.emilian.katub7: Isaya 62:4 Hutaitwa tena Aliyeachwa, wala nchi yako haitaitwa tena, Ukiwa; bali utaitwa Hefsiba; na nchi yako Beula;kwa kuwa BWANA anakufurahia, na nchi yako itaolewa. Nimekuombea leo Mungu abadirishe utambulisho wako katika jina la Yesu. Hutaitwa tena Aliyeachwa, na wala nchi yako haitaitwa tena ukiwa Bali utaitwa Hefsiba na Nchi yako Beula, kwa kuwa BWANA anakufurahia. Nimekuombea sana leo kwa jina la mamlaka la Yesu Kristo, BWANA abadirishe utambulisho wako
Mwl Emilian Katubayemo
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 05:38:47 GMT
Music
Download
Comments
💙💙💙@ Namada mpole💙💙💙💙 :
Amen Amen Amen I claim it and I receive it in Jesus name🙏🙏🙏🙏
2026-07-10 16:53:58
0
Rene_ika :
AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-10 18:06:14
0
lizy :
Amina napokea utambulisho mpya kwa jina la Yesu
2026-06-23 13:46:45
25
Pilli Shangazi✝️✝️ :
Amen Amen 🙌
2026-06-23 09:15:16
15
Lewis David levi :
Amen Amen in JESUS Christ Name amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
2026-07-07 05:51:57
2
Isabella Makoka :
Amen 🙏🙏🙏 in Jesus name
2026-06-24 06:59:05
6
Vanilla :
Amen napokea utambulisho mpya kwa jina la yesu kristo
2026-07-06 20:04:35
1
Jullove23 :
Amen napokea utambulisho mpya kwa jina la yesu
2026-06-23 13:11:53
5
TAUSI STUDIO 💅👑 :
Ameen napokea kwa jina la bwanaa 🤲🤲🙏
2026-06-23 08:23:00
6
elly :
amina baba
2026-07-10 16:48:52
0
MAMA SAM❤️🥰 :
Ameeeeeeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-23 06:38:49
6
Jey collection :
napokea katika Kristo Yesu aliye hai🙌🙌❤️❤️❤️
2026-06-29 16:15:31
2
Angel Radsilaus :
amen mungu nipe utambulisho mpya kwenye kaz zangu naomba utambulisho mpya kwenye maisha yangu naomba kwa jin layesu kristo🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-23 07:47:14
4
Rebecca Moss :
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen and Amen
2026-06-24 08:17:42
1
lidyashahidamsang :
Napokea asante kwaimani kubwa
2026-06-28 16:50:00
1
Justina :
napokea utambulisho mpya kwa jina la yesu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-25 12:32:18
2
mUu@CaRoEG :
Amina
2026-07-06 19:51:35
0
flower 🎀🌺 :
napokea utambulisho mpya wenyee neema na baraka nakila naloanza lisiishie njiani🙏🙏🙏🙏
2026-06-30 06:52:02
1
edsonmhando473 :
AMINA napokea Kwa jina la YESU utambulisho mpya katika maisha yangu
2026-06-24 17:04:54
1
little girl 🌍🌍 :
Ameen napokea kwa jina la yesu
2026-06-23 07:37:29
2
gidionsara :
amen mungu nipe utambulisho mpya kwenye maisha yangu
2026-06-23 06:23:50
1
🎀Rosalia🎀 :
Ameeen ...napokea utambulisho mpya kwenye maisha yangu 🙏🙏🙏🙏
2026-06-25 06:43:41
1
user9275480800527 :
Mungu nipe utambulisho mpya katika ujana wangu
2026-06-23 09:22:44
2
ms Diva :
Napokea utambulisho mpya katika maisha yangu katika jina la Yesu kristo
2026-06-23 13:09:08
3
Two in one :
Amina na iwe ivyo katika jina la yesu
2026-06-25 17:38:02
1
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.