@dickymshana: 🚢 GLORIOUS ACE Ameingia Rasmi! 🇹🇿 Hii meli kubwa ya mizigo ya magari (Car Carrier) inatia nanga kwenye mwambao wa Bandari ya Dar es Salaam tayari kwa berthing. 📍 Location: Dar es Salaam Port #GloriousAce #DarPort #MwanaBandari #BandariTanzania #CarCarrier