oky naomba nikwambie vipi kama nimepata mtu saivi ndio tunaanza . je naweza kurudi nyuma kufanya unayo sema huku tuko kwenye nahusiano nisaidie mimi ni muhanga
2026-07-21 05:07:38
2
Hilda love😘💖💖💞 :
Mm nisaidie please 🙏
2026-06-23 07:04:57
3
DJ Coni :
nitajaribu
2026-06-23 10:21:09
4
tecmary🌹❤️🥰 :
Leo Mungu ameniletea ww na niko kwa page yako mpk kieleweke dear Mungu akuzidishe maono uzidi kutupa madin🥰
2026-06-26 19:00:09
4
🌴OMi🦖🕸 :
ameen
2026-06-23 07:05:59
2
Divine_Products_Spot :
Ni kweli na wakiendelea kutafuta mahusiano bila healing ndo wanazidi kuharibikiwa
2026-06-23 12:45:38
4
honey :
Asante dear
2026-07-12 05:18:15
1
Wilson Mudonge :
yeah
2026-06-23 12:52:03
2
Erick nyaminya :
nakufatilia sana Mama
its me Tr. Elibariki
endelea kuponya kizazi cha sasa maana ni shida tupu.
2026-06-23 11:10:40
2
Black_ Huncho🕷️ :
Nina mwaka sasa sina mwanamke, wala sidhan kama nahitaj kwa huu wakati japo nacho mshukuru MUNGU katika maisha haya magumu hajaweza kuniacha🙏
2026-06-24 03:38:02
3
Denis Minja :
duuu
2026-07-02 13:26:38
1
Out of Protocal 🪂 :
Amen
2026-06-23 06:40:26
1
Madam vai 44 :
Amen
2026-06-23 08:08:09
1
Righa Judith :
nilikubaliana na ww sister.mahusiano niliacha.kweli nimepitia magumu ya kufiliwa na watto wawili,familia Sina amani.nilipokusikia nilitulia