jama alimtukana sana alikiba Leo anaenda tena studio za alikiba
2026-06-24 06:17:39
37
Abbydulie Mfalme :
umejichanganya kumpa verse uyu mtu Anatisha sana
2026-06-23 12:54:54
76
maggie :
Baraka Bora umerudi,Marioo katutenga hatuimbii tena zile nyimbo zetu za kutendwa,anakaz ya kutuchamba tuu tusokuwa na makalio na anatk tupelekwe seloo😭
2026-06-25 09:53:04
38
fax fax user :
Duuu sipat picha mukitoa nyimbo p1 itakuaje mana ote munatishaaa
2026-06-23 16:58:42
11
ambusde :
ww baraka umeishiwa kaombe musamaha kwaza kwa ali kiba
daaaah kubabake dream come TRUE atimae nmemtag ad wamekutan
2026-06-23 19:37:36
7
👑P_U_R_P_L_E👑 :
HICHI NDOKITU NILIKUA NASUBILI 🔥🔥🔥
2026-06-23 07:14:27
9
The Great Mninde ⭐️ 🤴 :
MWANZA IS ON FIRE NICE MELODY
2026-06-23 10:23:43
6
CHAMPION :
Mapenzi ni wivu ndio mwana anaumia 🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
2026-06-23 07:35:44
5
Viaratz _ :
Wanyumbani kbsaa najivunia mie nikiwa Dodoma
2026-06-23 13:18:47
8
B BOE :
safi san vanillah mrudishe jamaa etu tunamkubali san baraka
2026-06-23 13:03:50
5
George magari mwanza TZ🇹🇿 :
asanteni sana vijana mnaendelea kutuwakilisha vizuri rock 🪨 city mwanza tz 🇹🇿 ombi langu ni moja tu hizi kazi zenu zinahitaji nidhamu Sanaa hasa kwa wasanii wenye brand kubwa pia na kwa fans wenu lengo ni mafanikio makubwa mbarikiwe sanaaa 🫡
2026-06-25 03:15:07
5
jovie gindo💞💦 :
wakali wawili ndani ya track moja
2026-06-24 10:06:15
5
user6530275316913 :
barak na vannillah sauti miondoko mawimbi ya sauti jinc wanavyoimba kila kitu wanafanana duh
2026-06-23 14:31:01
5
Fredy M :
Apo sasa oyoooooo🔥🔥🔥🔥o
2026-06-27 06:46:06
1
marioo :
baraka kaka nakubar sana umekuwa
2026-06-29 07:16:28
1
w.e.s.t.3.rn :
isingekua Ego Baraka angekua mbali Sana now
2026-08-20 11:05:32
1
To see more videos from user @vanillahmusic, please go to the Tikwm
homepage.