@health_care_routine: ๐จ USIYOYAJUA KUHUSU TEZI DUME ๐จ๐พโโ๏ธ ๐น Tezi dume huwapata zaidi wanaume wenye miaka 50 na kuendelea. ๐ฌ๐ง Prostate enlargement is more common in men aged 50 years and above. ๐น Tezi dume si saratani, lakini baadhi ya magonjwa ya tezi dume yanaweza kusababisha au kuhusiana na saratani ya tezi dume. ๐ฌ๐ง An enlarged prostate is not cancer, but some prostate conditions may lead to or be associated with prostate cancer. ๐น Kukojoa mara kwa mara hasa usiku ni moja ya dalili kubwa za tezi dume. ๐ฌ๐ง Frequent urination, especially at night, is one of the major symptoms of prostate problems. ๐น Kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile hakusababishi tezi dume. Hizo ni imani potofu zisizo na ushahidi wa kisayansi. ๐ฌ๐ง Anal intercourse does not cause prostate enlargement. This is a myth with no scientific evidence. ๐น Tezi dume inaweza kuzuia mkojo kutoka vizuri na kuongeza hatari ya kupata UTI (maambukizi ya njia ya mkojo). ๐ฌ๐ง Prostate problems may obstruct urine flow and increase the risk of urinary tract infections (UTIs). ๐น Tezi dume isipotibiwa mapema inaweza kuharibu figo kutokana na kuzuiwa kwa mkojo kwa muda mrefu. ๐ฌ๐ง Untreated prostate problems may damage the kidneys due to prolonged urinary obstruction. ๐น Kufanyiwa upasuaji si lazima kwa kila mgonjwa wa saratani ya tezi dume. Matibabu hutegemea ushauri wa daktari na hatua ya ugonjwa. ๐ฌ๐ง Not every prostate cancer patient requires surgery. Treatment depends on the stage of the disease and medical advice. ๐น Wanaume wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara wanaweza kuwa na hatari ndogo ya kupata saratani ya tezi dume kulingana na baadhi ya tafiti. ๐ฌ๐ง Some studies suggest that regular ejaculation may be associated with a lower risk of prostate cancer. ๐ฅฆ๐๐ฅฌ Vyakula vinavyoweza kusaidia afya ya tezi dume: โ
Spinachi โ
Brokoli โ
Tikiti maji โ
Matunda na mbogamboga mbalimbali ๐ฌ๐ง Foods that may support prostate health include spinach, broccoli, watermelon, fruits and vegetables. ๐น Si lazima kila uchunguzi wa tezi dume ufanyike kwa kuingizwa kidole nyuma. Siku hizi kuna vipimo vya damu (PSA), Ultrasound, MRI #HealthCare #AfyaBora #HealthyLiving #HealthTips #creatorsearchinsights
health_care_routine
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 06:52:04 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @health_care_routine, please go to the Tikwm
homepage.