@historical_zanzibar: Maisha yetu kabla utandawazi kuenea. Vile unakuta mtaani kwenu kuna nyumba moja au mbili pekee zenye tv basi watoto wote ikifika maghrib tunajazama kutazama michezo. Ooh,tukikumbuka haya machozi yanatutoka😭😭 Picha na @somali nostalgia #zamani #enzihizo #oldisgold

Historical Zanzibar
Historical Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 07:11:17 GMT
6653
212
17
13

Music

Download

Comments

user3007427113305
machano :
Apokama hujakoga basiutafukwazwa 🥰
2026-06-25 15:09:04
3
ummu_kamillah
Ummu Kamillah :
Alhamdulillah we had good times😊
2026-06-23 12:43:23
1
mamytaash1
Taash❤️ :
Ameen ya rabbi tulikuwa tunaujiran wa kupendan sana
2026-06-23 08:17:56
2
madam_hamcollection
Madam hamcollection :
Alhamdullilah unakaa na rafiki yako mmekamatan mikono🥰
2026-06-23 17:46:55
1
user606041708
twee🥰 :
🥰🥰🥰 dah maisha yalikuwa yana amani kuliko haya ya kumiliki kila kit lakn pia hakuna amani
2026-06-23 07:36:14
2
fatma.khamis068
fatma khamis :
sio wote sisi wengine tulikua tukiishia madirishani tu na hatukurusiwa kuingia ndani😢😢
2026-06-25 09:21:09
2
hammam.albusaid
hammam Albusaid :
akijamba mmoja nyote mnafukuzwa haaaaaa
2026-06-23 08:29:37
0
ghalib.p6
Estêvão41 :
Hapo kipindi cha mvua lazm ukanawe miguu kwanza ila likuwa raha sana 😁
2026-06-24 13:53:59
2
tuma.yuyu1
SHEKH IDDY ONLINE TV :
Aloohl!apo tukiangalia mchezo wa insyuka tulikuwa tunaona unatisha khatari😁😁ila utoto bana,nikiwa nipo mwera
2026-06-24 21:10:14
2
fatmajuma205
fatmajuma205 :
jumapili lazima niende kwa jirani
2026-07-08 05:04:26
0
mzze.dizo
Mzze Dizo :
😂😂😂
2026-06-24 16:33:35
0
papy.loarn3
papy loarn :
😅😅😅😅
2026-07-04 17:00:44
0
To see more videos from user @historical_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About