hata Mimi mumewangu alipo poteza kazi sikuenda kwetu hata siku moja jioni mumewangu akija ameniletea embe bichi tunatafuna tunakula mungu NI mkubwa walai alhamdulilah
2026-06-23 13:27:42
11
memer Abdalla005🥰❤️ :
hata mm ex wangu alikuwa hana kazi sikuwai kwenda kwetu nilikuwa nashinda kwa nyumba nikimvumilia nikiwa na Imani ipo siku atapata kazi .lkn mwenzangu alipopata kazi baada ya miezi mitatu akabadilika🥹niliendelea kuvumilia nikiwa na Imani atarudi nyuma kumbe ndio anazidi 😭nilikuja kuchoka niliona nateseka mm na watoto ilibidi tu tuachane 😩😩sai sitaki mwanaume acha nileee tu hawa niliojaliwa na mungu
2026-06-23 14:59:18
2
Castro Troy 🌹💡 :
hao wako bac skuizi Balaa tupu zilizobaki.
2026-06-23 09:48:54
3
SALIM NGOMENI :
𝚆𝚊𝚔𝚎 𝚠𝚊𝚔𝚒𝚝𝚊𝚖𝚋𝚘
2026-06-23 13:57:34
0
football hub :
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar. Masha Allah Allah Ibarik
2026-06-23 15:11:13
0
Mwanasiti Saidi :
zama hizi wake kama Hawa wako
2026-06-23 13:52:17
0
BinAwadh :
wake hawa wapo vanga2 Kama nimombsa wallah bilah Hakuna💯💯💯
2026-06-23 16:45:00
0
Mpirimo Jeishun :
😁😁😁
2026-06-23 14:46:23
0
Mpirimo Jeishun :
🥰🥰🥰
2026-06-23 14:46:28
0
Mpirimo Jeishun :
🥰🥰🥰
2026-06-23 14:45:39
0
To see more videos from user @abdul.junior.36, please go to the Tikwm
homepage.