@islamic_rihla: Ukaribu, huduma njema na kujali ni miongoni mwa mambo yanayoimarisha mapenzi na utulivu ndani ya ndoa. Mahusiano mazuri hujengwa kwa uwepo, mawasiliano na kuheshimiana. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH ABDULRAHAM BAKARI MHINA 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha, nasaha na mafunzo yenye kunufaisha. 🔄 Sambaza kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US

Abou Rufaydah
Abou Rufaydah
Open In TikTok:
Region: MA
Tuesday 23 June 2026 07:50:13 GMT
121591
6714
137
1734

Music

Download

Comments

bint.aliy
Bint Aliy :
tuko karibu ma waume zetu na kutwa twadhalilishwa
2026-06-24 13:10:38
127
mamagalz2024
Ukhty Hajiah🧕🏻🧕🏻🧕🏻 :
Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli kwako, hata uwe mbali kiasi gani hawezi kukusahau. Unaweza kuwa karibu naye kila siku lakini hana hata haja nawe. So, hudepend tu na mtu
2026-06-27 10:49:09
16
alnahyan60
nahyan😘 :
Nilisahauliwa kutoka day one hata nishasahau kusahauliwa
2026-06-23 13:11:20
27
nayumco
Nayum beutiy :
wakwangu alinisahau kitambo sana alisahau hata watoto Alhmdllh 🙏
2026-06-23 23:17:29
9
tiphafashion
latipha fashion designer :
mm mwenyew asiwe mbali nami ntamsahau
2026-06-27 14:31:54
12
g335155
g :
mtu unajipendekwza mpaka bas mwanaume haoni akuu mie nshachoka hata hisia nae Sina kama kuoa naaoe
2026-07-20 20:12:39
0
yasminebiteko
Yas🇨🇩 :
Akanisahau na mimi namusahau
2026-06-25 22:19:41
0
bssd95
باسديق :
Naona wanawake wengi kwenye comments section hawa shukrani. 😳 Hata munatuvunja mioyo yetu 🚶‍♂️
2026-06-24 23:20:05
3
mumy.chaya
Mumy Chaya🥰 :
Bas Allah nijalie mume🥺 Niwe karibu nae apa dunian adi kesho Akhera🥺
2026-06-25 14:11:48
7
sophymtila
user899718666768 :
sina wazo nae
2026-07-06 12:58:36
1
gizabombo
Giza Bombo :
taibi sheikh
2026-06-28 09:54:16
0
layla07097
🌼layla🥰 :
ni sawa
2026-06-23 15:15:29
1
ummuhyroun
Mrs Hussein💞 :
Mi wangu hajanisahau Na tuko mbali Alhamdulillah
2026-06-27 23:20:24
1
mariamu768
user7495458294883 :
kikubwa pesa haija nisahau nanintakua karibu nayo sio shida zangu hata nikiwa karibu nitachitiwa
2026-06-25 09:53:17
3
.tima.suleiman
💕ummy mabrouk💕 :
kweli kabisa
2026-06-25 09:52:40
1
jamilamuhamad532
Jamila Muhamad :
Bora uzima alaa
2026-06-24 16:45:36
2
user70179456614874
mrs muzungu :
poit akuna jema kabisa
2026-06-25 15:56:56
1
sadhahaonlineshop
sadhahaonlineshop🇹🇿🇦🇪 :
Ah havielekezeki
2026-06-25 05:43:42
1
likalabusines5
likalabusines :
Masha Allah , shukran kwa ukumbusho
2026-06-25 08:57:14
1
user920725991017
haysam elfarsiy :
tuko karibu natudhasahauliwa
2026-06-24 10:54:11
4
shazmena_herman
SHAZMENA BEAUTY :
Sawa tu ni vizuri...
2026-06-24 05:09:43
0
anisaabubakar48
@anisaabubakar :
kweli lkn hee
2026-09-08 17:16:12
0
mwanaisha.mohamed54
Mwanaisha Mohamed :
kweli yuwakusahau Kwa Moyo 💪💪💪
2026-06-23 14:25:37
0
To see more videos from user @islamic_rihla, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About