@bantu_media: Mkaguzi Mkuu na Madhibiti wa Hesabu za Serikali Mstaafu (CAG) Professa Mussa Assad amesema moja ya kosa lililofanyika nchini ni kuruhusu wafanyabiashara kuingia katika siasa kwani kuna wakati wanaruhusu baadhi ya mambo kwani yana maslahi nao. Professa Assad amesema hayo leo Juni 22, 2026 akihojiwa na Clouds TV akieleza kuwa jambo hilo ni hatari. "mimi binafsi nadhani kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu wafanyabiashara kuingia katika siasa. Wakati wa Mwalimu Nyerere kama wewe unahusika na biashara ulikuwa huruhusiwi kuingia katika siasa," amesema Prof. Assad

Bantu Media
Bantu Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 07:55:23 GMT
4813
228
2
11

Music

Download

Comments

bundalarajabu
Rajabu Bundala :
kwel😃😃
2026-06-23 13:52:31
0
urocke23
urocke23 :
Na hapa ndipo SSM ilipo ina interest zake nyingi kuliko public interest
2026-06-23 11:02:02
0
To see more videos from user @bantu_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About