@dalali_sam_kigamboni: LUXURY HOME FOR RENT: Loc:Ungindoni-Mjimwema: 📍Ni nyumba ya vyumba viwili vya kulala, sebule, Jiko na public toilet 📍Nyumba ni mpya ya kisasa, mazingira mazuri Salama na yenye ulinzi wa uhakika 📍Nyumba ipo barabarani kabisa, 📍Unajitegemea umeme&maji Call/ WhatsApp 0628983998 #creatorsearchinsights