@koku.story: MACHOZI YA TINA SEASON 2 Part43 muendelezo whatsap like share comment next #viral #trending #viralvideo #maishanaai

koku story
koku story
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 08:10:07 GMT
301371
30937
798
708

Music

Download

Comments

janetizack49
Janetizack49 :
walio mpenda nesi mje tumpe Pepsi ya baridi
2026-06-23 08:35:42
548
emmy72706
emmy :
ambao tumefurahia gonga like ap😂😅😂
2026-06-23 08:31:52
354
user265771109945
Neema mzava🌹 :
nimefurahi sana Leo nilikuwa Nile viazi but napika pilau 😂
2026-06-23 09:58:33
101
dquet3
Dqute 😍 :
Nimempenda nesi naomba umpe Soda 🥰
2026-06-23 08:24:23
259
jaqueforever.livin
BOJAYLINE🌹🦋🌹 :
Tumsifu yesu kristo 🙏
2026-06-23 08:19:43
163
anyango0710
anyango :
mwenye anamini maombi ni muhimu hata kama unapitia mangumu muite Mungu, gonga like
2026-06-23 11:43:46
111
happykimar0
happy Kimaro :
najiambatanisha na Mungu wa Tina AMEN 🙏
2026-06-23 09:47:42
57
tecklatizigmail.com12
Zinza lady@ Official :
viatu vya Tina mmevionaaaa
2026-06-24 16:42:05
18
sarafina1471
sarafina :
Asante nesi umeweka familia ya tina huru nesi anyewe pesps tu
2026-06-23 09:58:03
57
uservivianmbise
user861Vivy Mbise :
ivi Amna namna ya kuweka like zaidi ya moja apa nimeipenda iii jamani Tina ameshinda iliiii🤣🧑‍🩰
2026-06-23 09:16:42
39
kalyambila
Elizabeth ndigonje :
nesi nakupenda bure mwaaaaaaàaaaa
2026-06-23 14:40:28
13
zoyacell7
Mary :
hongera sana nursi 🥰kwa uaminifu wa kazi yako
2026-06-23 08:33:05
36
mchejeri3
Tatuu smart🇰🇪🇸🇦🍧 :
Mungu wa tina nakuhitaji jamani😭
2026-06-23 11:13:37
15
enock.malango.nya
imani malango :
docteur unatumika kazi yako kwa uwaminifu umetufurahisha
2026-06-23 09:32:45
14
blue8961
blue 🎶 :
Ndo nilikua nakitaka iki 😍 aibu anaona yeye😂
2026-06-23 08:18:49
26
irenemashaka462
irene :
ongera ness kwa kaz nzuri wamebakia wachache sana
2026-06-24 10:19:54
5
teamchadolla
teamchadolla :
Nilikuwa nimeitelekeza hii move ila kwa sasa naweza endelea kutazama 🤣
2026-06-23 13:12:00
12
prisca_preciou
precious 💞 :
nguvu ya maombi so powa
2026-06-23 12:19:16
8
phinaezekiely
MS SIMON OGY :
nimefurah mwenyewe kuumbuka
2026-06-23 08:19:22
12
tupomartin
Mamaa Jayleen :
daaa maombi yananguvu sana
2026-06-23 11:15:57
24
mariamchales1
merry :
nesi umefanya ki2u chamana sana♥️♥️♥️
2026-06-23 08:55:18
14
catherine.jeremiah
Catherine Jeremiah :
Nimependa mno nes 🥰🥰🥰🥰mpeni chochote bili ni kwangu
2026-06-23 09:24:46
15
bee_phones16gmail.com
Bee_phones and Accessories :
Next pleas
2026-06-23 09:49:25
7
the_winnertz
The winner🙏 :
koku nikiingia TikTok bila kuona machoz ya Tina naumia sana
2026-06-23 09:12:13
27
lilian.leopord
lilian leopord :
amen nakupend tina wangu
2026-06-23 09:20:52
5
To see more videos from user @koku.story, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About