@ecoafricana_poultry_farm: FULL AUTOMATIC INCUBATOR tunazo kuanzia Mayai 40 sh 280,000 Mayai 70 sh 370,000 Mayai 128 sh 470,000 Mayai 210 sh 650,000 _inageuza mayai automatic, _inaweka maji automatic tofauti na matoleo ya zamani, _inatumia controller yenye display kubwa, _inahesabu siku automatic, _inauwezo wakubadili setting za ndege Tofauti tofauti automatic, _inaeneo kubwa la kusambaza joto kwa urahisi ndani ya Incubator, _inatotolesha 98% bila shaka yoyote, _inafanyiwa testing Incubator kubwa na uhakika wa joto na unyevu unaozalishwa, _Tunaongeza matundu ya hewa kuleta mzunguko mzuri wa oxygen kwenye Incubator, _tunarekebisha settings za ugeuza wa mayai pia. 📍TUNAPATIKANA 📌 Dar es Salaam - Tegeta, Nyaishozi. 📞WASILIANA NASI 📱0687 990 118 📱0769 716 493 📱0773 494 996 #fyp #ufugaji #ufugajikuku #incubator

ECO-AFRICANA
ECO-AFRICANA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 08:20:46 GMT
6375
149
10
19

Music

Download

Comments

churchbe26
church boy :
bei plese
2026-06-24 19:49:05
1
0784elle
0784elle :
bei
2026-06-24 08:31:22
0
kilimo05
chelestino kaguo :
nahitaji iringa
2026-07-01 19:43:26
0
matiko.hura
MATIKO HURA :
Ya mayai 264 sh ngapi
2026-06-23 11:59:52
0
mwihomeke3
mwihomeke :
mnauzaj
2026-06-23 11:40:38
0
tatizosimon
tizo :
unauzaje,niko mwanza naipataje
2026-06-23 16:51:49
0
josephathmbwilo5
josephathmbwilo73joseph :
bei ngapi?
2026-06-23 15:28:58
0
mtotowamungu677
kijukuu cha mtume 🕋 :
nahitaji ya mayai 20 tu iyo yamayai 200 bei ni kubwa
2026-06-23 14:12:36
0
To see more videos from user @ecoafricana_poultry_farm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About