tar yangu ya mwisho ya hedhi 15/10/2025 hadi tar 17/10/2025 je mpaka leo mimba yangu ina mda gani na tar yangu ya makadilio ni tar ngap
2026-06-23 08:35:30
1
aisha :
mbn makadilio ya ospital ni wiki 36 na wiki 1 ultrasound zimepishana cku mbili alaf mtu anafikisha wiki 40 kwa nn
2026-06-25 12:07:46
0
Stella msh :
Samahani doctor mimi naujauzito WA miezi 4, yakwangu utrasaund inasema na mapacha lakini napata maumivu makali Sana ukeni tena upande mmoja,,, nsaidie plz
2026-06-25 19:07:11
0
To see more videos from user @dr_chric, please go to the Tikwm
homepage.