@pazia_kariakoo: ✨ Pazia za Lace (Les) – Hakuna Tena Wasiwasi wa Urefu! ✨ Unatafuta pazia refu linalofika hadi chini vizuri bila kuunga? Sasa suluhisho lipo! 👌 👉 Hii inamaanisha hata dirisha refu sana au pazia za floor-to-ceiling tunakutengenezea bila shida 💡 Hakuna kuunga vipande – unapata pazia ndefu, safi na yenye muonekano wa kifahari zaidi 🧵 Tunashona kwa vipimo vyako halisi – urefu wowote unapatikana kulingana na hitaji lako Zinafaa kwa: 🏡 Sebuleni (hasa pazia ndefu za kisasa) 🏢 Ofisini 🛏️ Chumbani ✨ Muonekano wa class, mwanga wa kutosha na finishing ya kisasa kabisa 📍 Kariakoo – Sikukuu na Aggrey 📞 0748 153 543 📱 WhatsApp: 0652 267 844 👉 Tunapima site bure kabisa bila gharama yoyote! #PaziaDecorationKariakootz #LaceCurtains #HomeDecorTz #KariakooDeals #interiordesigntz🇹🇿