Leo nimepata majib yangu wallah uyo ni mimi kabisa nishajiulizaga sijui Nina majini nikipendwa tu kosa 😂🙌🙌🙌
2026-08-11 05:53:38
0
Abuuh Tz :
mapenzi lazima yawepo na ndio maana unakuta bianadaamu wanapendana wanyama wanapendanda ata utakuta miti imeanguka mmoja umemlalia mwenzake yale ni mapenz so watu tupendandena jaman tupo duniani kwa kupita tu hakuna atakaee ishi milele utakuta unampenda mtu af anakuletea dharau anakuona si chochote kwenye maisha yake acheni izo bhnn ushaamua kuwa na mtu basi thamini mda wake usije ukaona hana cha kufanya ukaona ni mtumwa wako siku akiondoka ndo utajuwa kumbe alikuwa wa thamani kwenye life yako