@chakawamusa: CONFUSION BABYLON

CHAKA WA MUSA
CHAKA WA MUSA
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 23 June 2026 09:03:07 GMT
8318
282
38
11

Music

Download

Comments

human.nchimbi
Human Nchimbi :
ndacha yuko sawa sasahiv
2026-06-23 18:28:16
1
mubeen_tz
mubeen :
yes sio mungu.mungu hawezi kuja kuangaka Duniani.
2026-06-23 18:04:59
3
officialchinyamah
@OfficialNYOKA. :
Hiyo time hakuwa ameelewa bt saii alifatilia akajua vzuri
2026-06-23 19:11:51
2
uhako8
aminah :
ndasha nilikuamini sana umeishiwa
2026-06-23 17:39:39
1
user9097684609743
user9097684609743 :
BABYLON COMFUSION 🤣🤣🤣
2026-06-23 19:01:39
0
twalibswahad
Twalib :
sasa mbn jambo liko wazi hapo
2026-06-24 09:54:49
0
user883shimmy
$himmy*wyne 👊👊 :
chaka ulipotea rudi kwa Allah alie mwingi wa rehma mwenye kurehemu
2026-06-24 06:24:34
1
epae254
epae :
sasa ndugu yangu ni nn hauelewi
2026-06-23 19:43:22
0
littlemindedd
Орешник :
Nyie mmeshapigwa, hadi mnazeeka hamna uhakika mnaabudu mungu gani. inasikitisha sana.
2026-06-23 18:27:25
1
user9097684609743
user9097684609743 :
HAHAAAA 🤣🤣
2026-06-23 19:00:49
0
jng.power
JNG POWER. :
ndacha anaamka kwenye usingizi
2026-06-23 14:12:03
5
po.mateo.shinda6
Po Mateo shinda :
mm ni mkristo lakn naamini katika MUNGU mmoja na yesu mwanaye wapekee
2026-06-24 04:59:23
0
lewisbayern26
king lewis :
chaka umehubiri miaka nyingi mno, ambia ummah ukweli kuna yesu na kuna mungu, chaka acha njaa, kuna kiyama baba, mfurahishe mungu acha kuwafurahisha binadamu
2026-06-24 05:01:54
1
davis.rotich7
Davis Rotich :
mjadala ulikua wake na mwakemwa na mwakemwa hufundisha kuwa Yesu ndio huyo huyo Mungu mwenyewe ndio kwa andiko hilo anajaribu kufundisha kuwa Kuna Mungu na kuna Yesu wapi huelewi Chaka
2026-06-23 10:40:44
0
yusuf.saad441
Yusuf Saad :
Ndacha ni mtafutaji siyo mshabiki
2026-06-23 19:13:03
1
gift_mnyama
mr.satoshi :
anakua kama aliekuwa msemaji wa timu Fulani alipokua simba ,bdae yanga
2026-06-23 09:52:21
0
nahlatysalumkhami
Abdul m❣️💞💕💖💘 :
mruke mtoje yesu nabii issa ni mtume wa mungu t
2026-06-23 15:14:41
1
raswamathina
Ndege ya Mungu :
Chaka unachuga sadaka
2026-06-24 07:45:42
0
jameskasigane
james kasigane :
God hates a double speak
2026-06-23 19:35:36
0
myahudiwakiroho
Myahudi wa KiRoho :
comment section haina hata hoja yakupinga.
2026-06-24 08:01:29
0
user2618836575257
deco :
kumwita Yesu Mungu au kumwita mwana wa Mungu hakuna kosa yoyote
2026-06-24 10:13:04
1
innocentmushi596
MushiTz :
ndacha anaact au
2026-06-23 19:27:56
0
mbevalexo
Braham enlightenment :
labda ndacha afanye mjadala na waislamu kuhusu Uungu wa Yesu tuone atatumia haya zipi
2026-06-23 19:04:35
0
user9097684609743
user9097684609743 :
CHAKA USIINGIZE WATU CHAKA
2026-06-23 19:02:27
0
user883shimmy
$himmy*wyne 👊👊 :
wacha kujitoa ufahamu ndacha sai kaa nyooka ww kwan wasema ipi ni yakweli ilitujuwe wewe huja changanyikiwa
2026-06-24 06:26:58
0
To see more videos from user @chakawamusa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About