@tangawizipori: Replying to @nurvent1 ●Kuna malalamiko mengi sana ya wanawake wanaoenda kupiga Ultrasound na kuambiwa milango na mji wa uzazi viko safi, lakini bado mzunguko wa period haueleweki na ujauzito haupatikani. ●Shida ambayo wengi hawaambiwi ni Uchafu wa Ndani wa Mfumo (Systemic Toxins). Dada alikuwa na mrundikano wa uchafu ulioganda tumboni. Unapokuwa na sumu na mafuta mabaya yaliyozunguka mfumo wako wa ndani: 1. Mayai yanashindwa kukua Yanabaki kuwa madogo sana (underdeveloped) kwa sababu hayapati virutubisho sahihi. 2. Mji wa uzazi unakuwa wa baridi Sumu zinaharibu uwiano wa homoni, mwili unashindwa kutengeneza mazingira ya kupokea kiumbe kipya. Ukitumia njia za kemikali za kulazimisha period, unakuwa unasafisha nje tu lakini uchafu wa ndani unabaki pale pale. Ndio maana kuondoa sumu na mafuta ndio siri kubwa ya kuamsha mfumo wako wa uzazi urudi kwenye uhalisia wake. Kama una changamoto ya mzunguko kuvurugika au unatafuta mtoto na unataka kuelewa jinsi ya kusafisha mfumo wako kwa njia salama ya asili. Hapo chini au njoo inbox nikueleze kiundani bure. #creatorsearchinsights #fypシ゚viral #TangawiziPori