@akhi_ali5: Ni vigumu sana kwa mtu kujifariji mwenyewe. 😔 Laiti tungeweza kuwa wakali kwa wale wanaotutendea ukatili, si kwa lengo la kulipiza kisasi, bali ili waonje maumivu wanayotusababishia. Huenda ndipo wangetambua kuwa maneno na matendo yao huacha majeraha makubwa moyoni. 💔🥺 #creatorsearchinsights #viralvideo #fyp

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 10:00:29 GMT
15003
740
17
65

Music

Download

Comments

bahabahati8
BAHATY 🫦👌 :
Quran inanifariji wallah kila ninapoumia 😔😔 mwisho nasema alhamdulillah 🤲🤲
2026-06-23 11:38:39
4
zaituniramadhan66
Zaituni Ramadhan :
mm faraja yangu ni mungu na watoto wangu ila siwez kukusahau ww kaka angu ata haya maneno yananifariji🙏
2026-06-23 16:55:24
5
mammie_s
mammie :
istighfaaar.. kalimatullah.
2026-06-23 10:52:07
2
momesha28
momesha :
alhmdullilah kwa yote
2026-06-23 19:10:09
1
thuwaybamohd307
Thuwayba Moh'd :
Alhamdulillah ninaimani na mola wangu na naamini yote ninayoyapitia ipo siku yataisha na nitarudi kuwa mwenye furaha inshallah 😓😓
2026-06-24 16:55:15
2
nuru.mkumba3
Nuru Mkumba :
mmh
2026-06-23 11:44:23
1
user339609531987
zukhura :
Hasbunallah Wa Nimal Wakeel...🥺😢
2026-06-23 19:00:35
1
baby.mamoon
bxill🫀🍓 :
alhmdullilah
2026-06-23 12:17:43
1
user3553017106036
okela sàmwel rix :
kweli jamani watu hawajui tu
2026-06-25 06:44:12
0
user3455825744104
bintilukio :
😭😭😭 cjui kwanini nilikuwa na huzuni napita zangu nikaona hii nimejikuta nalia
2026-06-24 00:21:55
1
minnahlv93
Minnah Lv :
😭😭
2026-06-23 19:09:26
1
hamadrashid1742
hamadrashid :
💔💔💔
2026-06-23 10:20:06
1
To see more videos from user @akhi_ali5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About