@radiomariatanzania: MAANDAMANO KUINGIA KANISANI | MISA TAKATIFU YA KUHITIMSHA MATEMBEZI YA SANAMU YA BIKIRA MARIA - KILUVYA Karibu utazame maandamano kuingia Kanisa kuelekea Adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu ya kuhitimisha Matembezi ya Sanamu ya Mama Bikira Maria, Parokia ya Watakatifu Wote Kiluvya, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Misa Takatifu inaadhimishwa na Padre Anthony Mutu Paroko wa Parokia hiyo. Endelea kusikiliza Radio Maria Tanzania popote ulipo kupitia:- Ifakara 104.7 FM, Mahenge 104.7,Unguja 103.7 FM, Morogoro 103.9 FM, Tanga 104.1 FM, Pemba 104.1 FM, Dar es Salaam103.7 FM www.radiomaria.co.tz #Miaka30yaRadioMariaTz #Uinjilishajiupendonafaraja #Na.Kampuni100200 #Na.kumbukumbu1 #Mariathon2026 #Upendoniushindi