@mtoto_wa_maria: Huu wimbo ni dawa ya roho, hakuna anayeusikiliza akabaki kama alivyo. Ni wimbo ambao unanikumbusha mambo mengi niliyopitia, yaliyoniumiza na kunijenga pia. Hivyo nawe sikiliza hadi mwisho, naamini kuna sehemu itakugusa. Usiache kuandika neno lolote kama umebarikiwa na huu wimbo, hapo chini kwenye comment. #gospelmusic #viralsong #christiantiktok #tanzaniatrending #fyp
Furaha Temba
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 10:30:00 GMT
Music
Download
Comments
chiendaonlineshop :
kama unaamini mungu ndo kila kitu kwenye maisha yako gonga laiki hapa
2026-07-03 13:21:44
75
Janeth M 💃💃💃 :
Asante mungu kwa pumzi ya leo🙏🙏🙏
2026-06-24 12:27:31
102
Furaha Temba :
Asante Yesu kwa kunifanya hivi nilivyo leo.
2026-06-23 15:37:42
48
💕💕shuu bby💝 :
Jina la wimbo
2026-06-25 10:50:00
27
SEBASTIAN MACHELE :
happy Sabbath 👋👋
2026-07-31 20:03:51
1
Shantel Ali :
can someone translate pliz , thank yu in advance
2026-06-27 09:38:42
7
Ole Sabaya :
asande Mungu kwa kunipa uzima
2026-07-01 19:52:18
7
Nasaha za Maishaᵒʳᵍ :
Utamu wa Tenzi za Rohoni...Kale Nilitembea!🥰🥰🥰
2026-06-26 16:49:12
8
Sellah Rose :
20/20
2026-07-07 20:54:44
2
Win Frida :
Asante yesu kunitoa icu kule salama,mimi ni nani,na waliopoteza maisha ni akina nan Asante yesu wangu
2026-07-02 04:07:03
8
Hustle Mssat :
asnte mungu kunifikisha hapa nilipo
2026-07-20 18:02:22
3
user8881038818285 :
thanks god
2026-07-02 13:29:20
2
Dr Frank Jonathan Kanu🩺🇸🇱🇰 :
why this song keep waking my spirit Mungu 🙏🙏🙏
2026-06-30 16:17:13
6
Diana :
Asante yesu
2026-06-30 10:49:40
1
touchcare__saloon :
Asante Mungu kwa Upendo 🙏
2026-07-19 16:20:00
1
FLAVOUR243 PHOTOGRAPHY :
NAYATUMIKISHA IYO WIMBO KUJENII MUONEE 🥰🙏🙏🥰
2026-07-07 15:30:38
2
yohanaboniphasi67 :
Asante mungu Wang kwa kuniimalisha hadi leo hii naiweka mbele yako family yangu ilinde kwa kila janga liepuke simama nasi Ebwana Wang
2026-06-25 17:18:46
12
Monica :
Asante Mungu kwa uzima 🙏🙏
2026-06-25 08:38:01
4
elfazorgrey :
Kama unaamini "MWENYEZI MUNGU" ndiyo kila kitu katika maisha gonga like, mana amekuamsha salama; barikiwa sana🙌 Amen 🙏 🙏 🙏
2026-07-07 09:38:22
4
mariam :
jina la wimbo
2026-06-24 09:08:10
3
Asante mungu bila wewe akuna nifanyacho
2026-07-19 05:55:29
1
obeydijey :
asante san mwokoz
2026-06-23 20:41:14
1
EDISON CHANDI :
tenzi
2026-06-25 21:01:52
0
Stella G M :
oooh Yes.. hallelujah 🥲🥲
2026-07-01 09:35:10
2
Vinna Bbm 🧡 :
Mimi ni Mkatoliki lakini napenda Tenzi za Rohoni vibaya mno, kwanza ngoja nidownload kitabu Cha Tenzi nimekumbuka🥰
2026-07-06 09:05:10
0
To see more videos from user @mtoto_wa_maria, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.