@islamic_rihla: Hasira na ugomvi vinaweza kukusukuma kufanya maamuzi ambayo baadaye utayajutia. Tulia, tafakari na fuata mwongozo wa dini katika kutatua migogoro ya ndoa. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH SAID BAFANA 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha, nasaha na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔄 Share kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US
kwakweri ata mimi yamenikuta hayo mumewangu kanioa kwa siri kwass sira raha ya mapenzi
2026-08-14 17:35:10
1
Nuru mohamed :
kweli kabisaaa
2026-06-24 06:57:25
4
Swagger 001 🇺🇬 :
Subhanallah
2026-08-15 14:41:32
2
fatuma mkhome :
hakika shekhee wetu
2026-08-11 13:30:07
2
Phylis Omach👮♀️👮♀️ :
amin
2026-08-16 06:31:11
1
Nasra rajabu :
duuu acha kunikumbusha stakuja kusahau
2026-08-14 18:58:48
2
Feith Imali :
ndo napitia sai eeeh mola wangu
2026-08-13 20:45:55
2
user2273281566082 :
mm cna Raha ya ndoa mume wng unanizarau Sana tangu ameowa mke mwengine mm sio mwanamke tena ila nashkur Alhamdulilah nipo na Wanangu na nimenyamaza kulia😌
2026-08-22 07:47:41
1
Rey :
kabisa kabisa
2026-06-24 15:29:36
5
Judith Mhando :
Kweli kabisa
2026-07-01 07:05:38
1
user28132073036141 :
mbona nikama unamsema huyu hapa
2026-08-08 20:00:01
0
Kulthum Khamis :
kweli kabisa sheikh
2026-06-24 06:23:22
4
masudi@ :
And
2026-06-23 21:01:45
3
user5419732947061 :
wangu alifanya hivyo na mm sina radi nao
2026-08-12 07:17:20
2
Mama Boys 44❤️❤️ :
Wadau tumefikiwa,sheikh pasua mbarika
2026-08-10 17:51:29
1
Zuh :
aaai Allah nashukuru nlijitoa sababu sina hiyo roho mm
2026-08-10 00:54:13
1
Nina :
siku hizi wanaona juu ya sifa tuuu hamna lolote hawajui uadilifu Wanachojua ni kujitosheleza tuuu nafsi zao... they're too selfish
2026-07-28 13:41:02
1
leilla988 :
Kweli kabisa
2026-06-25 12:54:13
1
To see more videos from user @islamic_rihla, please go to the Tikwm
homepage.