@salma_naafya: Kuondoa fibroids katika kipindi hicho kunaweza kuongeza HATARI YA KUTOKWA NA DAMU NYINGI, kupata matatizo makubwa ya kiafya, na wakati mwingine kuhitaji upasuaji mwingine wa dharura. Ndiyo maana mara nyingi madaktari hushauri fibroids zishughulikiwe kabla ya ujauzito au baada ya mwili kupona vizuri baada ya kujifungua. Tiba bila upasuaji inapatikana #salma_naafya #foryoupage #viralvideos #fouryou #USA