@balamatz: "Wema please feed a babyy"🤣 This was how Gladness Kifaluka advice Wema Sepetu on how she can be healthy as "Postpartum mother" was all about #ten4life yesterday #masakitanzania “Wema tafadhali nyonyesha mtoto kwanza” 🤣 Hivi ndivyo Gladness Kifaluka alivyomshauri Wema Sepetu kuhusu namna anavyoweza kuwa na afya bora kama mama aliyejifungua hivi karibuni (postpartum mother) wakati wa kipindi cha #Ten4Life jana kupitia #MasakiTanzania.