@bongofive: Kupitia #HotOnTheFeed @el_mando_tz amelizungumzia kwa ukubwa suala la @diamondplatnumz kumpa gari Dancer wake ikiwa kama pongezi na kumpa motisha juu ya kazi yake, ikumbukwe Dancer huyu alifanya kazi na Diamond kwa muda mrefu sana toka 2008. Kuangalia uchambuzi Kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 14:57:05 GMT
17695
1643
46
16

Music

Download

Comments

txpopkipaj
Tx pop kipaj :
bro kamdomo sasa si alikuwa nalipwa kwani alikuwa anadance bure
2026-06-23 20:45:23
6
emanuelkiva2
Emmanuel :
Bro wewe boss wako âme kupa nini
2026-06-24 01:10:46
6
nasty__61
Nasty_61 :
Everything is earned amd Gods time is the best time
2026-06-24 07:21:59
1
dullah_kilewa
dullah umande :
sio na nane
2026-06-24 06:16:26
1
mabidohmg
꧁༒ MABIDOH MG 47 ༒꧂ 👑💀 :
we umepewa nin tangu umeanz kazi yak
2026-06-24 13:50:03
0
djkhan.daddy
Dj khan daddy 1 :
kila kitu kina wakati wake
2026-06-24 02:51:48
2
feisalbryalugaba7
FEI FOFANA :
alikuwa bd anajenga
2026-06-24 04:44:23
1
user8141636845010
F@dy Juma 100% :
@100%
2026-06-24 04:31:14
0
andulilesaid2
andy :
Life is process
2026-06-24 03:52:18
0
hamadihamadi585
amady :
mipang kak
2026-06-24 06:15:35
0
kipanya1
kipanya1 :
2008 wapi acha uongo mond mwenyewe ametoka 2009
2026-06-24 11:13:20
0
josephfelician
J%seph Felician :
kwani mshahara alikuwa halipwi mshahara
2026-06-24 10:37:56
0
hunterjb978
Hunterjb97 :
ndo maana ya mvumilivu
2026-06-24 05:36:50
0
dangakibunda26
SAMSUNG_AREATZ🇹🇿 :
KAMPA EHEE 😅😅😅
2026-06-23 15:04:23
0
zombiebinladdein
Zombie bin laddein🧟‍♂️ :
diamjnd huwa anatabia ya kusoma uvumilivu wa m2 hata ukisikiliza interview ya zuchu na harmonize wakat wanasajiliwa ..utagundua jamaan huwa anakawaid ya kusoma uvumiliv wa m2
2026-06-24 07:11:06
1
usiniulize_nitafute_14
dullybroun :
hiyo ni zawadi ni wakati wowote si analipwa hiyo ni hiyari bro
2026-06-24 04:21:05
0
omarry09
Gi :
kama ulisikia maelezo ya diamond alisema hapo mwanzo alikuwa mzembe ila baadae akabadilika kwa hyo zawad so malipo malipo yake analipwga kila mwez kama kawaida
2026-06-24 04:56:46
0
dullah_kilewa
dullah umande :
fwatiria vizuri
2026-06-24 06:18:07
0
bosslulutz
bosslulutz :
Hii gari alimpa mwaka jana
2026-06-23 21:16:28
0
hassan.hamis.sule
mwiga93 :
alikuwa analipwa
2026-06-23 22:30:03
0
jeannothusseinjea0
jeannothussein :
Sasa unataka Nini?? si alikuwa analipwa
2026-06-23 22:37:23
0
user1581612126565
useni salumu :
sasa alikiba ana dance
2026-06-24 02:54:47
0
chalii.ya.chuga1
chalii ya chuga :
acha uchokooo
2026-06-24 11:32:06
0
georgeisaya94
George decoration :
vitu vizuri avitakagi haraka
2026-06-23 22:36:00
0
1987mobre
LipuliStarMOBRE :
brother unahugonvi na Mond?
2026-06-23 15:20:05
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About