@micah.muhoho: Pushup nzuri huanzia kwenye control Movements hizi mbili zimenisaidia kubaki imara zaidi kwenye pushups, na bado nazitumia kabla ya push session yangu Jaribu wewe pia halafu uniambie umeona tofauti gani... 📌 Save video hii ikusaidie ukifanya pushup #micahmuhoho #pushups #bodycontrol