Subuhannallah Allah atuongoze katika njia yake iliyo nyooka na atujaalie mwisho mwema ili tukutane na mtume wetu MUHAMMAD RASULULLAH 🥰
2026-06-24 20:16:16
19
NINO🕳️ :
Wallahi natamani ningemuona na mimi mtume wangu 😭 ila namuamini na Allah anidumishe katika kumtaja na kumuenzi kwa yale aliyotuachia aamiin 🤲
2026-06-25 07:48:11
15
𝑩𝑨̃𝑩𝑳𝒀_𝑫𝑬̈𝑳𝑳𝑬̨ 96 :
𝘈𝘭𝘭𝘢𝘩 𝘵𝘶𝘫𝘭𝘪𝘦 𝘔𝘸𝘪𝘴𝘩𝘰 𝘮𝘸𝘦𝘮𝘢 𝘐𝘯𝘴𝘩𝘢𝘭𝘭𝘢𝘩🤲😢
..𝘚.𝘈.𝘞
2026-06-25 07:00:52
3
lovelly❤️ :
mtihani kwa kweli mwenyezi mungu atusamehe na atukutanishe na mtume wetu Muhammad s.a.w😭😭😭🤲🤲
2026-06-24 17:03:25
14
S.a.h l.a.w :
Allah atupe mwisho mwema
2026-06-25 04:31:19
8
Fatyma Collection🛍️ :
S.A.W
2026-06-24 08:02:12
3
🌸It’s maiyah boo🌸 :
Ya Allah tuongoze wajaa wako hakika kila nikisikia iv nanungunika kwa ulimweng huu unamambo meng mazito bas Allah atuking navitimbi vyadunia hii na atup mwish ulokuw mwema awalipen na nyot mnao tupa mafundisho haya🥹🤲🙏
2026-06-25 10:28:12
1
user5702537406849arsam :
Yaa Allah tujaalie mwisho ili tukakutane na mtume Muhammad s.a.w
2026-06-25 07:05:02
5
khaisaly :
Allah atukutanishe na mtume muhammad Swallahu allaihi wasalam
2026-06-25 15:53:29
1
naurat4333 :
swalallah alei wasalim 😢😭
2026-06-25 09:04:19
2
MussaZaina Rashid :
subhanna llah nijaalie mwisho mwema
2026-06-25 14:14:03
3
President Of 214 🫡 :
jazakallahukhairan kaka mwendelezo please
2026-06-24 14:12:11
3
Mohammed mwangia :
YARABI TUJALIE MWISHO MWEMA INSHA ALLAH
2026-06-25 09:20:39
2
Aidan Peter :
saw
2026-06-23 22:54:10
3
Yas Dezainer :
saw
2026-06-24 19:55:56
1
Qur'an kareem :
s.aw
2026-06-24 06:24:20
2
Sweryder🤍🦋🕊️ :
Muhammad RasullAllah 🤲
2026-06-24 17:16:19
2
BABI_⚽️ :
MUHAMMAD LASULUALLAH 🤲
2026-06-24 08:35:54
2
BABI_⚽️ :
S,A,W❤️❤️
2026-06-24 08:29:11
2
lilly boy :
S. A. W
2026-06-24 19:42:00
1
shazla💕 :
S,A,W
2026-06-24 23:58:48
1
shabani salima :
sauti ya Sheikh nani hii kk
2026-06-25 07:02:01
1
Hafivan@200 :
ALLAHUMMASWALI WASALLIM ALAA SAYYIDNA MUHAMMAD WAALAA ALIHI WASWAHBIHI WASWALLAM