@kinagaubaga2:

KINAGAUBAGA
KINAGAUBAGA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 15:46:33 GMT
3729
120
18
11

Music

Download

Comments

mohamedmbwana255
Mohamed Mbwana :
final 1+1+1=????????
2026-06-24 06:37:18
0
shafihnfcv7
ramazani :
ww ujui biblia ok soma biblia sasa akitwa jina mungu yupo nasi inamanisha ni mungu au jina
2026-06-24 02:08:27
0
jaymus779
jaymus :
Luka 4:8 (Biblia Takatifu) Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
2026-06-24 11:19:58
2
agueromorad
Aguero Morad :
sasa mbona tunabatizwa kwajinalababa na mwana na roho mtakatifu
2026-06-23 19:38:36
0
blessed.flo
Flo :
Mathayo 1:23 [23]Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
2026-06-24 01:05:56
2
kaimuomari
KAIMU OMARI :
masawe amejichanganya mungu anae julikana ni Yesu.
2026-06-23 16:35:16
1
wisdom0484
Wisdom :
Mbona simple sana hiyo 😂 Mimi ni John . Nina Mwili,Nafsi na Roho ila Mimi siyo watu watatu . Period
2026-06-24 04:55:13
0
jaymus779
jaymus :
Marko 12:29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja;
2026-06-24 11:19:22
1
dicksonmdate
dicksonmdate :
hebu nipeni namba zenu tuongee naona mnasumbuka sana
2026-06-25 14:34:51
0
jaymus779
jaymus :
Yohana 17:3 (Biblia Takatifu) Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
2026-06-24 11:20:26
0
david.mutuura
David Mutuura :
😁😁😁
2026-06-24 19:34:18
0
To see more videos from user @kinagaubaga2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About