@samio_love: KIJIJI BILA YA WAZEE BADO HAKIJAKAMILIKA HUYU HAPA MFALME WA USWAHILINI MSAGA SUMU KABALI YAO KUTOKA TANDALE MPAKA PANGANI 🙌🏻 Kuna raha sana ukitazama show za msagasumumfalme legend ambae bado anaishi kwenye mitaa yote ya uswahilini na yeye alitambika kwenye jukwaa la mwenge wa uhuru pale tanga pangani kwa mh Juma Hamidu Aweso 🔥🔥 Sio poa Pangani Dc mlitisha sana hii siku hakuna wa kuifunika hata kidogo show baab kubwa 💪🏻 Hakikisha una subscribe YouTube channel ya SAMIO LOVE BRAND LTD.🔵 & supa_kitaa ✅✅ Powered by JIZO 🎥 & 🎛️ MUUH KITAA & KILASI #baloziwagetto #wakienyeji✅
Samio Love
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 16:00:06 GMT
Music
Download
Comments
Kddo_mpole :
wanaoamini kampoteza Jetty Mc gonga like hapa...
2026-06-24 01:31:00
10
petertabitha :
Mkesha wa mwenge wa uhuru 2026
2026-06-23 23:57:55
3
Mziwanda :
asa mbn melod ys jetty mc
2026-06-24 09:29:25
0
Dogo noma :
Nakubari Fadha
2026-06-24 10:11:17
0
Milaza mc :
nzur iyo mtumzima saluty👍😁😁
2026-06-23 18:37:46
2
MU IT KANUMBA :
noma sana braza
2026-06-23 19:11:08
0
DadY kendrick :
mfalumeeeeeeeee
2026-06-24 04:52:34
0
idrs wizy888 :
kwaeshim
2026-06-23 18:22:20
1
emmanuel Magubikila :
babu uyo
2026-06-23 17:57:19
2
c€ntrel B~™🚭🚭 :
ng'0mbe azeeki main big up babaa...
2026-06-23 19:31:12
1
official_razack23 :
au hii ngoma ilikua yake
2026-06-23 20:32:28
0
Milaji Said :
kwaimani sanaaaaaaaaa45
2026-06-23 21:25:40
0
nicomadora :
sana tu
2026-06-23 19:41:59
0
simple Boy :
Duuh,, nimependa vibes na amani hadi morning bt huku ingekuwa kuna mmoja hana kiganja😂
2026-06-23 21:48:36
0
mfanisi wautuliv Tanzania 🇹🇿 :
mashine iyo
2026-06-23 16:15:04
1
yolloh :
noma sana
2026-06-23 21:01:56
0
𝗠𝗮𝗿𝘄𝗮 𝗸𝗰💫 :
kwan huyu ni nan tena
2026-06-24 08:26:48
0
kizokwa_009 official🤑 :
oyaa eeeh mzee yupo vizur bhn🔥🔥🔥🔥🔥
2026-06-23 21:23:19
2
shirra mc :
kwa heshima
2026-06-23 16:14:27
1
Bestah_boe :
Kukaa kwenye beat ndy kt hakoseag uyu mfalme🔥🙌
2026-06-23 20:34:56
2
Genofeva Simon :
aujawai kufeli🙏🙏🙏
2026-06-23 19:00:28
2
Rashidi Kulita :
mfalume katembea kama kijana wake ila dah inaoneka kaipenda sana hii ngoma
2026-06-23 18:07:58
1
salehe_liku :
noma🔥🔥🔥
2026-06-23 16:11:46
1
allytuhame :
unawakalisha na utawakalisha
2026-06-23 18:50:46
1
Bont@ 45.. :
Nimekuelewa mzee wangu msaga sumu
2026-06-23 19:52:12
0
To see more videos from user @samio_love, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.