@odaydhible9784: #odaygan waa qac socota😂

Oday Dhible9784
Oday Dhible9784
Open In TikTok:
Region: SO
Tuesday 23 June 2026 16:04:37 GMT
38790
1227
13
56

Music

Download

Comments

fua.d.adan
King kong :
Ish😅
2026-06-23 19:30:53
0
jaydoniiz
jaydoniiz :
😂😂😂Qac
2026-06-23 16:34:15
0
munomaanka524
mss caato :
❤️❤️❤️
2026-06-29 16:59:29
0
jimcaale.jini
j. jini :
😇😇😇
2026-06-27 19:44:09
0
farduus668
farduus :
🥰🥰🥰
2026-06-29 09:28:32
0
msslaki41
astan❤️💋👑 :
❤️❤️❤️
2026-06-29 07:19:19
0
aliiz0787
nevra💕👸🏻 :
🥰🥰🥰
2026-06-29 06:21:12
0
user330609415
amina :
🥰🥰🥰
2026-06-29 11:09:45
0
boqorotainaabdi09
SHUMEY🌹 :
🥰🥰🥰
2026-06-27 19:08:41
0
cafqaan
ibaraahim cafqan :
🥰🥰🥰
2026-06-27 10:08:12
0
xasan.mahamet
Xasan Mahamet :
😳😳😳
2026-06-24 14:26:31
0
marwadiitaliyaha1
haniyyyyyy C/rashiid 🫶❤🌹💕 :
💋💋💋
2026-06-29 19:38:46
0
user055169529
Maxamed Cali :
🥰🥰🥰
2026-06-29 21:52:19
0
To see more videos from user @odaydhible9784, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Mwanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Igunga, wilayani Igunga mkoani Tabora, Happines Isack, amesema amepokea kwa majonzi makubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa askari mwandamizi wa Jeshi la Polisi, SACP Richard George Abwao, akimtaja kama mlezi na mtu aliyekuwa mstari wa mbele kuwahamasisha watoto kujilinda dhidi ya ukatili. Happines, ambaye ni mwakilishi wa wanafunzi wa Klabu za Usalama Wetu Kwanza zinazosimamiwa na Jeshi la Polisi Igunga, alisema alikutana kwa mara ya kwanza na marehemu katika Tamasha la Jipambanie, lililolenga kuwapa watoto elimu ya kujikinga na ukatili pamoja na mazingira hatarishi. Alisema baada ya kuona jitihada zake, SACP Richard George Abwao alimpatia zawadi na baadaye akamwalika kushiriki maadhimisho ya Police Day yaliyofanyika mkoani Tabora. Katika maadhimisho hayo, Happines alipata nafasi ya kuzungumza na wazazi, akiwataka kuwalinda watoto dhidi ya ukatili na kuhakikisha wanakua katika mazingira salama. Baada ya hotuba yake, marehemu alimkabidhi cheti cha pongezi kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, kisha akamwalika ofisini kwake na kumtia moyo kuendelea na kazi ya kuwafundisha watoto wenzake kuhusu kujilinda dhidi ya ukatili ili watimize ndoto zao na kufikia malengo yao ya maisha. Happines amesema, licha ya kufahamiana kwa muda mfupi, alibaini kuwa SACP Richard George Abwao alikuwa mtu mwenye upendo, unyenyekevu na aliyewathamini watu wa rika zote bila kujali nafasi zao katika jamii.
VIDEO: Mwanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Igunga, wilayani Igunga mkoani Tabora, Happines Isack, amesema amepokea kwa majonzi makubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa askari mwandamizi wa Jeshi la Polisi, SACP Richard George Abwao, akimtaja kama mlezi na mtu aliyekuwa mstari wa mbele kuwahamasisha watoto kujilinda dhidi ya ukatili. Happines, ambaye ni mwakilishi wa wanafunzi wa Klabu za Usalama Wetu Kwanza zinazosimamiwa na Jeshi la Polisi Igunga, alisema alikutana kwa mara ya kwanza na marehemu katika Tamasha la Jipambanie, lililolenga kuwapa watoto elimu ya kujikinga na ukatili pamoja na mazingira hatarishi. Alisema baada ya kuona jitihada zake, SACP Richard George Abwao alimpatia zawadi na baadaye akamwalika kushiriki maadhimisho ya Police Day yaliyofanyika mkoani Tabora. Katika maadhimisho hayo, Happines alipata nafasi ya kuzungumza na wazazi, akiwataka kuwalinda watoto dhidi ya ukatili na kuhakikisha wanakua katika mazingira salama. Baada ya hotuba yake, marehemu alimkabidhi cheti cha pongezi kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, kisha akamwalika ofisini kwake na kumtia moyo kuendelea na kazi ya kuwafundisha watoto wenzake kuhusu kujilinda dhidi ya ukatili ili watimize ndoto zao na kufikia malengo yao ya maisha. Happines amesema, licha ya kufahamiana kwa muda mfupi, alibaini kuwa SACP Richard George Abwao alikuwa mtu mwenye upendo, unyenyekevu na aliyewathamini watu wa rika zote bila kujali nafasi zao katika jamii. "Alikuwa mtu mwema, hakukivaa cheo chake. Aliwapenda watoto, aliwajali wazee na alikuwa karibu na kila mtu. Kifo chake kimeniumiza sana na moyo wangu umepondeka kwa kumpoteza mtu ambaye alikuwa zawadi kwa Mkoa wa Tabora," amesema Happines. Aidha, ameeleza kuwa kupitia msaada wa SACP Richard George Abwao pamoja na maafisa wengine wa Polisi, akiwemo Afande Hida na Afande Sumuni, aliwezeshwa kuendelea kutoa elimu ya maadili mema na kujikinga na ukatili kwa watoto wenzake. Akitoa wito kwa jamii, Happines amesema njia bora ya kumuenzi marehemu ni kuendeleza mapambano dhidi ya ukatili wa watoto na kuhakikisha watoto wote wanalelewa katika mazingira salama. @polisi.tanzania @polisi.tanzania @polisi.tanzania

About