@innovationcleaningltd: #rwandatiktok🇷🇼 #kigalitiktok🇷🇼🇷🇼 #sofacleaning 0781965653

innovation cleaning company
innovation cleaning company
Open In TikTok:
Region: RW
Tuesday 23 June 2026 16:17:13 GMT
552
13
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @innovationcleaningltd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

UTAJIHISI NI MWENYE BAHATI BAADA YA KUUSOMA UJUMBE HUU, Kwa wale mnao sumbuliwa na madonda ya tumbo, tumieni mbegu za parachichi mtakuja kunishukuru, mimi sikuwa nakula dagaa maharage pilipili na vingine vingi tu, nilitumia dawa za aina nyingi lakini sikuona dalili za kupona, lakini sikukata tamaa nilitumia kila dawa ninayo elekezwa, ila mwisho nilitumia mbegu za maparachichi hadi hali ya kuumwa tumbo ikakata kabisa, na sasa hivi iwe pilipili nakula iwe dagaa nakula tena vizuri tu, kiukweli namshukuru Mungu, Chukua mbegu za maparachichi zitwange zisitwangike sana, ukimaliza weka juani zikauke zikikauka chukua uzitwange tena hadi upate unga unga hakikisha unachekecha kwa chujio ili upate unga ulio laini, ukishapata unga ulio laini funga kwenye kimfuko, dawa yako teari kwa matumizi, Matumizi chemsha maji kidogo tu kama nusu kikombe, ipua maji yako weka kwenye kikombe, chukua dawa yako uloisaga ikasagika chota kijiko kidogo cha kulia chakula, usijaze sana ni kawaida tu weka dawa yako kwenye kikombe changanya vizuri iache kama dakika moja tu, kabla hujanywa mtangulize Mwenyezi Mungu, ili akusaidie upone kupitia hiyo dawa, chukua dawa yako kunywa,  Tumia dawa hii siku 30 kutwa mara 2, asubuhi na jioni, tafadhali ugonjwa ni wato ila nakuomba utumie siku 30, kutwa mara mbili, hakikisha unamaliza siku zote bila kuacha wewe hata uwe umebanana kiasi gani hakikisha unatimiza matumizi,  Unaweza ukatumia siku,7 ukashangaa maumivu ya tumbo yanazidi kadri unapozidi kutumia dawa hii ndipo na maumivu yataendelea kupungua,  Huwezi amini mimi nimetumia hiyo dawa zaidi ya mwezi na wiki kama tatu hivi, wetu wengi mnatumia dawa muda mfupi tu mkiona hakuna mafanikio teari mshaachano nayo, na hili ndio tatizo kubwa linalo fanya watu wasipone magonjwa mbalimbali, ndugu yangu magonjwa hayapo kwako tu, na wengine pia wanaugua usione wapo busy na kazi ukajua ni wazima wa kila kitu, Mwenyezi Mungu, awajalie wote mtakao tumia dawa hii muweze kupona  Amin.....🙏#lighterherbalclinc🌿 #AfyaAsili #PilikaPilika #foods #koo

About