@andrehh_xxvii: troppi ricordi

andreh
andreh
Open In TikTok:
Region: IT
Tuesday 23 June 2026 16:30:39 GMT
679586
132156
385
43330

Music

Download

Comments

lagiaco_
lagiaco_ :
Sono bloccata in questo video, aiuto 😳
2026-06-25 07:04:10
17
paulaavega_
pauu🇪🇸 :
no comentéis que si no os salen más vídeos así
2026-07-04 22:21:32
10
giulia.rosignoli3
Giulia Rosignoli :
2026-07-18 21:06:07
42
alesdgaff
alesdgaff :
2026-06-24 13:53:31
130
sarossii._
sara🫧 :
Un bono che canta la musica di un altro bono
2026-07-03 23:41:42
34
emanueleberto
emanuele berto :
a chi pensi
2026-06-23 18:17:21
6
_naiira17
Naira Aller Alvarez :
a veces toca decir amai y seguir bajando
2026-07-09 20:49:48
9
carolinaextesion
carolinaextesion🌸 :
Scrollò ma non dimentico.
2026-07-03 06:04:40
12
bee.giugliano_
Beatrice Giugliano :
l’uomo della mia vita
2026-06-24 10:11:31
10
__y.m.c__
Yumara :
No pueden parar ya de salirme por favor
2026-06-30 21:40:09
6
To see more videos from user @andrehh_xxvii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameagiza Jeshi la Polisi kuwanyang'anya silaha watu wanaozitumia kama mapambo au kujionyesha hadharani, akisema kitendo hicho kinaweza kuhatarisha usalama wao na jamii kwa ujumla. Katambi ametoa agizo hilo leo, Agosti 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msamaha wa Usalimishaji wa Silaha Haramu kwa Hiari 2026, ambapo amesisitiza kuwa silaha hazipaswi kumilikiwa kwa ajili ya kutafuta sifa au kuonyesha uwezo katika jamii. Waziri Katambi amesema baadhi ya vijana wamekuwa na tabia ya kuonyesha silaha zao katika maeneo ya starehe, ikiwemo kuzitoa na kuziweka mezani wanapokuwa baa, hali ambayo amesema inaweza kuwavutia watu wenye nia ya kuzichukua na kuzitumia kwa madhara.
VIDEO: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameagiza Jeshi la Polisi kuwanyang'anya silaha watu wanaozitumia kama mapambo au kujionyesha hadharani, akisema kitendo hicho kinaweza kuhatarisha usalama wao na jamii kwa ujumla. Katambi ametoa agizo hilo leo, Agosti 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msamaha wa Usalimishaji wa Silaha Haramu kwa Hiari 2026, ambapo amesisitiza kuwa silaha hazipaswi kumilikiwa kwa ajili ya kutafuta sifa au kuonyesha uwezo katika jamii. Waziri Katambi amesema baadhi ya vijana wamekuwa na tabia ya kuonyesha silaha zao katika maeneo ya starehe, ikiwemo kuzitoa na kuziweka mezani wanapokuwa baa, hali ambayo amesema inaweza kuwavutia watu wenye nia ya kuzichukua na kuzitumia kwa madhara. "Sasa hatumiliki silaha kwa fashion. Tunamiliki silaha palipo na matishio ya usalama," amesema. Akizungumzia kauli ya Dotto Magari kuhusu umiliki wa silaha, ya kusema "na hapa ipo", Katambi amesema kauli hiyo inaweza kuwapotosha watu na kuwaingiza katika mazingira hatarishi, akisisitiza kuwa kumiliki silaha si jambo la kujivunia wala njia ya kutafuta umaarufu katika jamii. "Kumekuwa na wimbi fulanj la vijana hata yule ambaye hana matishio, ule msemo wa Dotto Magari wa kusema na hapa ipo, kitendo cha kusema na hapa ipo, Kamanda wa jeshi la polisi IGP utawapa maelekezo", Amesema Waziri katambi Katambi amesema raia wanaomiliki silaha wanapaswa kuzingatia masharti na taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria, huku akieleza kuwa wanaoruhusiwa kubaki na silaha ni wale wanaokidhi matakwa ya kisheria. Amesema serikali haitaruhusu silaha kutumiwa kwa mtindo wa 'fashion' au kama nyenzo ya kujionyesha mbele ya jamii.

About