@mm.history: Majina mazuri na maana zake.

MM HISTORY
MM HISTORY
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 16:52:36 GMT
2189405
115779
1893
8673

Music

Download

Comments

aishangokos
Aysher :
kama upo online like
2026-08-10 12:26:13
0
sidekamaside35
sidekamaside35 :
Samia mana yake nn
2026-06-24 06:07:55
423
ma.precious87
Naomie :
Naomi means beautiful ❤️
2026-06-24 21:29:18
6
del.chance8
delà Chance :
chance
2026-08-09 20:34:05
0
nyenzirebeca
nyenzirebeca :
Why rebecca😭😭😭
2026-07-15 09:49:25
2
khanlameck_tz
khanlameck_tz :
Gidion sio kwel
2026-06-24 07:50:14
138
nanapol6
Realnaomie :
Jina Naomi lina asili ya Kiebrania (Hebrew) na maana yake ni “mwenye furaha,” “mwenye kupendeza,” au “mwenye neema.” Katika Biblia, Naomi alikuwa mama mkwe wa Ruth katika kitabu cha Ruthu. Jina hili mara nyingi huhusishwa na upole, uzuri wa tabia, na furaha. Kwa kifupi: * Naomi = mwenye kupendeza * Naomi = mwenye furaha * Naomi = mwenye neema Ni jina linalopendwa sana katika tamaduni nyingi kutokana na maana yake nzuri.
2026-06-24 20:20:00
209
sl.recca
Sl Recca :
iti Rebecca ni mtego siaaaa 🥺🥺🥺🥺🥺
2026-06-25 05:12:45
34
emmanuelbayda
emmanuel bayda :
gidion sio kweli
2026-06-24 08:38:00
39
phylejoshua7
Phyle Joshua :
Samia maana yake 🤣🤣🤣
2026-07-14 11:31:19
10
minelsnaomi24
🍀🎀it's Naomi :
NAOMI SO KWELI NAOMI MAAANA YAKE NI MTENDA WEMA
2026-06-26 08:51:02
17
gideon.nyambala.o6
Gideon Nyambala OG :
Gideon ni kwel
2026-06-28 06:40:15
6
user4398228048639
niyomi :
jina Naomi maana yake kupendeza kasome kitabu cha Ruthu
2026-07-20 12:59:48
5
naommyshindai
nAnA💞 :
maana ya Naomi ni "ya kupendeza"
2026-06-26 22:01:39
8
creativegirl42
creative girl :
wewe nielezee vizuri amilia au Emilia
2026-06-25 11:26:55
7
rebeka.elik
Rebeka Elik :
Rebecca maana yake /nimuvuto mshikamano/ asili yakiebrania ♥️♥️♥️♥️♥️
2026-06-28 16:57:39
19
user202513112003107
ashybaby :
Naomi maana yake Mwema. soma Ruthu 1:2
2026-07-16 11:21:39
7
naomiedaniella5
Queen 👸 Dorcas :
Naomi maana yake Upendo
2026-06-24 04:57:55
10
jeniphathomas6
jojo🇺🇬 :
kwaio mkoa wa Mara ni mkoa wa uchungu😟🥺
2026-06-24 08:29:37
5
user2228330811415
Emily ngoda :
mtuuuuu me
2026-06-25 06:17:59
6
emmyyohana676
Emmy Yohana :
liongooooooooooooo
2026-06-24 04:51:17
7
rebekankaila
rebekankaila :
Rebeka uongo jamani jina langu lina maana nzuri sana🥰 wew umeelewa vibaya sio mtego Google Jina Rebbeca, mara nyingi huandikwa Rebecca, linatokana na jina la Kiebrania Rivkah, ambalo hutafsiriwa kwa kufunga au kufunga. Maana yake mada za muunganisho na umoja, zikijumuisha sifa za uaminifu na kujitolea .
2026-06-27 09:13:34
8
janglejr
jangle32 :
naomi maana yake mwenye kupendeza
2026-06-24 09:01:03
27
trickmoney235
Lucia rebecca gwakisa :
Nipe maana ya jina lucia
2026-06-25 12:58:15
13
To see more videos from user @mm.history, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About