@islamic_rihla: Dhuluma haidumu, na dua ya mwenye kudhulumiwa haizuiliwi mbele ya Allah. Mtendee kila mtu kwa haki, kwani hujui ni dua gani inaweza kubadilisha maisha yako. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH HASSAN AHMED 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha, nasaha na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔄 Sambaza kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US
Abou Rufaydah
Region: MA
Tuesday 23 June 2026 17:02:30 GMT
Music
Download
Comments
Tayana Hassan :
Allah atuhifadhi kwa wale walio tudhulumu inshallah🙏
2026-06-23 19:33:03
4
Ishaal001 🇸🇴 :
mimi nimedhulumiwa mara mbili dua zenu😢😢😢
2026-06-24 18:11:56
2
@Ben B :
hii nasaha natembea nayo
2026-06-27 04:40:25
3
mking & Jeef :
Allah atupe moyo wakulipana madeniii yarrab
2026-06-25 08:44:04
2
side_marangi :
amin
2026-09-27 14:03:27
0
nanaaliabuu :
m pia nilifjulumiwa Haki ya mwanangu nimemuavhia Allah ndio atakae nilipia inshaa Allah Kama si hapa Kesho siku ya hisabu
2026-06-26 21:47:40
1
Mlongo Mwalimu :
kweli kabisa
2026-06-23 19:37:24
0
user1181379698563 :
kweli kabisaa
2026-06-23 20:12:13
0
silah Looh :
lahaula walakuwata mungu atuepushe umata muhamad na dhuluma
2026-07-04 10:53:12
0
ASHA SANKA :
kweli kabisa,Mimi sasa ndio Niko katika hio Hali sahii
2026-06-26 04:18:14
0
Naser75 :
kweli kabisa
2026-06-25 07:50:15
0
Mwero Elija :
kweli kabis
2026-07-08 09:10:50
0
Ishaal001 🇸🇴 :
😢😢😢😢😢😢aleisalau bihakamil hakimin ...
2026-06-24 18:10:35
0
Tuha :
hakuna dhuma ndogo mbele ya allah
2026-06-24 06:18:40
0
Sid :
💯
2026-07-29 22:09:23
1
king fish :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-20 21:57:25
0
hakimi :
♥️♥️♥️
2026-06-26 15:27:06
0
mariam :
😭😭😭
2026-06-23 17:38:45
0
Rayyan Balloon decor :
❤️❤️❤️
2026-07-11 15:13:26
0
Ishaal001 🇸🇴 :
@🤎Queen herself🇸🇴
2026-08-01 07:54:12
0
To see more videos from user @islamic_rihla, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.