@ostazjuma: Sheikh Kishki ni mganga kama waganga wengine tu, japokuwa yeye bado hajui vizuri, lakini anapenda sana kujiwekea mazingira kana kwamba yeye ndiye mganga wa kweli.
OSTAZ JUMA NAMUSOMA
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 17:08:29 GMT
Music
Download
Comments
SHAMSA❤️ :
Ata iweje sisi tunampenda shekhe wetu🥰🥰
2026-06-24 07:06:24
58
Simba001 :
Acha Unafiki
2026-06-23 21:05:11
55
@ B T KISHKI FANSI😍 :
🥰🥰🥰🥰ONLY KISHKI INTERNATIONAL LECTURES KISHKI THE FIRST AND LAST sheikh wetu tuna mpenda ata awe msukuma
2026-06-24 19:43:11
1
Your kitchen store :
kahama kwa diamond hadi kwa kishki
2026-06-23 23:37:28
74
Qadrah Hassan :
Kwa hio watakaje Si tunachojua anafanya kheri Na Allah atamlipa
2026-06-24 03:58:03
21
OP DUMA VANA :
sisi tunacho juwa anafanya jambo la kheri tu bc,ayo mengine hatuna habari nayo.
2026-06-24 01:44:07
41
JAFARI BABAYU :
toka hapa ww zee LA ovyo kabisa
2026-06-23 20:29:58
43
OG :
Tunamuamin Kishki sna mzee
2026-06-23 17:56:07
45
Flagonaire :
Hatakama Ni Kweli lakini hayakuhusu,,
2026-06-23 19:31:55
35
Aytam madrasa :
tuna mpenda sana kishki tena sana
2026-06-24 03:03:09
23
user2115590123786 :
Ustadh Juma nenda kwenye muziki ukaendeleze upuuzi yako. mwache Sheikh Kishki
2026-06-24 04:41:06
29
ramadhaniaburidhw :
Kuna mahakama ya Allah utakuja kuyathibitisha ayo
2026-06-24 19:21:23
5
Addicted :
Nahisi kama umeongea ukweli
2026-06-24 14:03:09
5
mpemba halisi :
kwaiyo tukusaidiaje
2026-06-23 22:36:57
15
Binti Mramba2 :
Uzuri tumeambiwa hakuna mkamilifu duniani 🙏🏽
2026-06-24 07:33:45
14
NAUFAL_CLASSIC :
huu ni unafiki sasa
2026-06-23 19:35:55
17
morningstarfx :
tukusaidie nini sasa
2026-06-24 07:03:19
5
abdulsoft electrical services :
mzee anapenda kujiamulia mambo huyu
2026-06-23 21:17:59
9
Mr.王李 :
kk huwez kumtengnisha mtu wa kher na waisalamu
2026-06-24 09:52:54
5
kapastar😎mus'ab :
we nnafiki tu
2026-06-23 20:49:54
10
Ali hassan :
mbona mm niko nairobi na hakuna habari kama hizo
2026-06-24 03:13:45
6
issa juma :
hii naona kama ina ukweli ndaniyake
2026-06-24 06:42:25
5
Alhaj Qassim :
huu ndio ukweli ila wengi mtapinga lakin pia tutaache kama yalivyo maana kishki anasaidia sana ktk wema.
2026-06-23 23:05:14
7
Learn with Nuru :
unazeeka vibaya ww
2026-06-24 00:03:25
7
0658145070 :
sio kweli warabu wanajua
2026-06-23 20:50:44
6
To see more videos from user @ostazjuma, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.