@chunamakeup: Mpe LIKE yako Zuchu km umefurah😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍👌

ChunaMakeup
ChunaMakeup
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 17:47:26 GMT
805833
48061
1114
3743

Music

Download

Comments

babe_girl056
Babe girl :
Asante cameraman kwa hiki kidogo 😂
2026-06-23 22:00:41
2610
princess.b868
princess b💕 :
Asante camera man hii itatusukuma😂😂😂
2026-06-23 23:31:33
893
_.did.a
🪫 :
Asantaaaaaa ✌️😅😅😅☺️
2026-06-25 17:51:14
1
tamrinah62
ℝ𝕖𝕜𝕙𝕒🩷 :
SASA HII NDO MIMBA SIO ILE YA WEMA
2026-06-23 18:18:36
1667
user9349609529187
Assia Twaibu :
mimba imemfanya afanane na rose ndauka
2026-06-24 14:34:17
289
ms_sandyy3
SANDRAH💕 :
Camera man katupambania
2026-06-24 04:58:43
1353
mary726750
mary🥰 :
Cameramani unatupambania sana ubarikiwe
2026-06-24 09:25:13
183
hamisi123456tiktok.com06
humayraa🌸 :
zuchu mimba imembenda sana . mashaa Allah 🥰
2026-06-24 09:11:40
8
destiny7430
destiny :
Ifike mahala pua na mimba zmalize sintofahamu zao🙌🏼🙌🏼
2026-06-25 10:09:10
18
fifi_cute6
Fifi💞 :
tuliokimbilia kwenye comments
2026-06-25 17:09:52
9
mamaas_3
Da Love💃 :
Sasa mimi navimbaga Mara Tatu ya zuchu na hivi sina hela😆
2026-06-23 18:46:22
327
princess.g243
princess g :
wanao angalia zaid ya mara mbili mbil wek like apo
2026-06-24 08:01:39
77
emmanueldaimon14
Baba fey 🙏🙏🙏🙏 :
mungu akubariki sana camera man saiz ukwel tumeujuwa mambo kwa ushahidi.
2026-06-25 05:13:24
8
user7609811841810
official🥀 angel💦💯 :
hongeraa dada zuchu
2026-06-25 11:27:48
0
kanael.tarimo
Mom Three E's :
kanenepa kapendeza 🥰🥰🥰
2026-06-25 18:06:24
0
jannatt.88
jannat :
naomba Apate twins
2026-06-25 16:00:18
0
lorimasinvestments
LORIMA'S INVESTMENTS :
Diamond as done.it again
2026-06-25 17:41:41
0
nurathy190
BABY NICE🥰😘 :
hii kwel ndo mimba ata sura ya zuchu imekuwa tofauti mimba inabadilisha mtu bwan
2026-06-25 14:58:10
6
melenaoffical
@melena :
camera man kaagizie chakula bill ya ali😁
2026-06-25 14:01:51
9
lady_naa19
🦋Nanah🦋 :
mbong zuch kabeba mimb zaman kuliko wema ety leo hii wema wa mwish nd kujifunguw kuliko zuchu jmn ap kun nn mbn sie wengin hatuelew n kil aliokuw haelew km mm gong like ap 🥰🥰😅
2026-06-24 05:00:43
25
user14903176612811
linna :
badae mtasema hajaonesha kitovu
2026-06-24 09:30:59
51
um.twins7
Um Twins :
Congratulations kwake Allah Amjalie Ajifungue Salama🥰🥰🥰
2026-06-24 17:53:38
21
lopezkamama
lopezkamama💕💕💕 :
Mtoto atanyonya nini zuchu wangu 🥰🥰🥰
2026-06-24 07:28:47
26
To see more videos from user @chunamakeup, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About