Ronaldo ndo mchezaji wa kwanza kufuunga bao kwenye kila michuano ya Kombe la Dunia aliyoshiriki kuanzia mwaka 2006, 2010, 2014, 2018, 2022 na 2026 lakini hajashinda ata World cup Moja katika izo mara sita.
2026-06-23 19:05:23
8
Emma J® :
messi ijayo messi akitoa assist anaweka record kama hiyo ya kutoa assist kwenye world cup 6
2026-06-23 18:09:56
11
@robynnko11 :
iyo syo record pamoja na kufungua mfululizo hana magoli hata ya mbappe