Mtunzie hii video….alaf ungemfinya kidg tu jmn 😭🙌🤦♀️
2026-06-24 11:47:19
307
Mage accessories :
mtunzie hii video🥺🥺 binafsi sjaolewa wala Sina mtoto ila nawaelewa single mothers sana🥹
2026-06-24 11:09:25
219
Gyner :
Scripted
2026-06-25 22:40:01
0
Ecosystem :
mtie kofiii achaaa kumsikilizaa
2026-06-24 15:03:45
78
feyzuuhussein0🎀🦋🦋🎀🌸🌼🌺 :
Umemjibu vizur sana👏👏
2026-06-23 22:00:04
60
Babe_💞🦋 :
mtt ni malaika☺️
2026-06-24 11:39:14
52
suuh kidoti :
yani ningempa banzi ila we mama mtu nimekupenda umemjibu vizuri
2026-06-24 18:18:38
42
sweet_nasreen :
😭 Ina uma ila twajikaza to
2026-06-24 10:07:39
24
Crezy Mbagala :
eeeeee mungu mjalie mwanangu aje amtie mamake aibu kama hii
2026-06-25 07:24:10
9
Urbancloset :
Mi ningekafinya kidogo
2026-06-24 15:24:51
10
Mamdogo_aunt🤩 :
Nnacho omba mungu mwanangu asije akanipa hii stress akae kmy ivo ivo 😅
2026-06-24 12:32:15
10
datoga girl❤✅ :
Ila watoto😂😂🙌🏼siku wangu aliniuliza mama baba yangu yupo wap nikamjibu si Yule uliyeonana naye akasema hawezi kuwa babaangu kwasababu haishi na ww na anamkataa kabisa😩🥹🙌🏼
2026-06-24 13:02:28
21
♋️…. :
yoooh ctaki mm🥺🥺naomba amjue huyu huyu ndo baba ake jmn
2026-06-24 13:51:40
6
oriana_tz0 :
Umemjibu vyema… I understand how you felt baada ya hilo swali 🩵
2026-06-24 14:58:19
7
Lissa_baby :
masingo mama msivunjike moyo 🥰
2026-06-24 11:28:10
9
BAB SALO :
mwanangu asante kwa kumjua mamako anaroho mbaya 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-24 16:12:54
6
nishalsuleiman :
Ata amayr wangu ananambia mama mbn umpend baba
2026-06-24 18:48:47
7
by shaa.💯 :
huyu ni mwanangu kabisa🤣🤣
2026-06-24 11:41:20
6
🦋 Zahra~flower🌸💕..🎀 :
Mama anauvumilivu mnooooo Mungu asimame nawe
2026-06-24 18:01:53
5
elizaa2580 :
akikua ataelewa tu
2026-06-25 21:14:01
1
Froze_baby :
2026-06-24 20:19:03
1
Benjamin Dominick :
Mimi naamn dogo yupo sahihi💯
2026-06-25 08:57:08
3
Doi Doi :
nimejikuta nalia jaman
2026-06-25 14:52:45
0
Kijumbe YsL :
Ndo mana mimi napenda sana watoto wa kike wanawapenda sana baba zao
2026-06-25 10:30:41
3
To see more videos from user @mtakatifu.maria7, please go to the Tikwm
homepage.