@shenus.essence: ✨ FEEDBACK KUTOKA KWA MTEJA WETU MZURI ✨ Hakuna furaha kubwa kama kuona wateja wakifurahia matokeo ya bidhaa zetu. 🥰 Oud Splash ya Shenu’s Essence imeendelea kuwavutia wengi kwa harufu yake ya kifahari, kudumu muda mrefu na matumizi mengi – mwilini, nguo, mapazia na hata nyumbani. 🌹 Asante kwa kuendelea kutuamini. Wewe bado hujajaribu Oud Splash yetu? Leo ndiyo siku yako! 🤎 💰 Bei: ▪️ Kubwa – Tsh 15,000 ▪️ Ndogo – Tsh 4,000 📩 Tuma DM au WhatsApp kuagiza 0777-779233 #ShenusEssence #OudSplash #OrganicBeauty #ZanzibarBusiness #HandmadeWithLove