I love that...wangetaka kukaa njee wangebaki nyumbani
2026-06-24 10:57:38
77
Naa outfit 🧢💋 :
yupo sahihi
2026-06-24 04:03:50
68
Shusheii :
na mshkur allh kwa kuzaliwa muislam
2026-06-24 04:12:47
24
Black beauty :
namshkulu mingu kwa kuzaliwa mkatolik🥰
2026-06-24 04:54:06
8
elizabethchristi282 :
hii huwezi ikuta Romani cathoric
2026-06-24 08:40:43
5
litham :
Yuko sahihi
2026-06-24 07:52:14
7
ODIT JACKLINE :
hii tabia yakuka inje uniudhi sana na waumini pongezi mchungaji sana
2026-06-24 10:32:45
11
kahua peris peris :
gooooood🥰
2026-06-24 10:46:00
1
favoured :
hioo ingekuwa my last day in that church
2026-06-24 17:28:50
0
Kartun :
I support this mchungaji Fanya kazi
2026-06-24 14:45:32
15
Fly girl🦚🦋🥰 :
mm ningeondoka 🤣🤣🤣
2026-06-23 20:46:38
15
mr gagarino :
sasa ni lazima?
2026-06-23 20:28:32
6
dangwa the don :
kama unaamini huyo ni teacher gonga like 👍 😂😂
2026-06-24 09:05:45
16
Anne :
kiufupi inakela sana mpk unajiuliza uyu mtu kaja kusali au yupo njee kujionesha tyu.Hongera sana
2026-06-24 07:10:22
43
Love beuty saloon 🦋👱♀️ :
Yupo Sahihi 🙏
2026-06-24 04:42:41
11
Elijah wa kunguru🦅 :
Kuwahimiza waumini waingie ndani ni jambo jem lakini kutumia hasira au kuwapiga si njia inayojenga Uongozi wa kiroho una nguvu zaidi unapofanyika kwa upendo na hekima Mfano upo kwa Yesu mwenyewe aliwaita watu wamfuate, lakini hakuwalazimisha kwa nguvu...🙏Yangu ni hayo nawapenda sana wote mtao soma comment hii. Mungu Hakika Mungu akupe afya njema na maisha mazuri wew na familia yako Ameeni🙏
2026-06-24 09:32:04
13
To see more videos from user @storyzakitaa, please go to the Tikwm
homepage.