najibu kama dereva nikweli kabisa ela tunapata lakini matumizi makali lakini sio wote
2026-06-24 08:39:19
10
mjomba wenu :
Madereva sio masikini
2026-08-02 15:07:30
0
Rashirdi :
uhakika kaka
2026-08-01 20:56:08
0
user4694971199906 :
Huyo mzee amejibu kwa.usahihi
2026-06-24 17:41:35
8
kalinga kasala :
hela ya dereva haina muhasibu, kila mtu anaitaka
2026-06-25 06:59:55
7
Jeff master :
safi sana Mzee Hilo ndio jibu sahihi zaid
2026-06-28 22:50:50
3
MTOTELA 25 :
je mnalipwa bei gani au unasema matumizi makubwa au mshahala aukidhi kubalanzi
2026-06-25 09:44:09
4
Rafael Sanane :
mwalimu wetu yupo poa sana
2026-06-24 21:55:03
2
🌍JOHN~M~NAGWA 🏀🇹🇿 :
wako wachache hadi raha sisi tuliikuwa 200😁
2026-06-25 08:01:23
2
RAMA :
bonge umejibu vizuri sana kaka
2026-06-29 20:30:44
1
Tumaini Ngallya :
Safi Sana
2026-06-29 05:57:39
1
MTEMBEZI WA TAIFA🇹🇿🇹🇿 :
mtuu wa maana sanaa huyu
2026-06-26 19:18:33
0
Hammy Tz :
Teacher wangu wa maana sn leo nimekuona huku ,nimefurah sn kwakweli ulinifundishab PSV mwaka Jana mwishoni
2026-06-25 07:39:18
0
yassir fahmi :
kwani hapa siwezi tuma voice nimjibu
2026-06-25 16:20:18
1
BEA SIMBA :
hiikozi ya uchumi au udereva!? na umakini kwenye road!?
2026-07-06 15:58:58
1
user8673119334997 :
😳😳wanalipwa mshaara sh ngapi? ndio mpaka useme dereva ana ela nyingi ?Awana mikataba Awana chochote madereva wengi wanaishi kwa kutegemea posho .
2026-07-17 06:47:46
0
baba pPhilipo Damian :
matumizi
2026-06-24 09:28:04
1
fredie :
tunaamin kilasiku tunapata
2026-06-24 08:39:42
5
Stevie Rumba :
Engneer nakuelewa kama
2026-08-01 19:36:29
0
Hassan Kigumi :
mzee nakubal
2026-08-03 19:31:32
0
IBRA LASWAI :
hakuna dereva analipwa milioni huo niuongo kipato nikidogo
2026-08-06 05:29:42
0
babesh sultan :
Braza kajibu vzr
2026-08-10 19:39:21
0
Nagara :
yani anayeonekana na kujadiliwa matumiizi ni dereva kwani hakuna tasnia ingine ya kuijadili kila kukicha mnawinda pesa ya dereva hilo hamlioni?
2026-08-04 17:54:44
0
mkata umeme :
Nakukubali sana mkufunzi wangu Mungu akupe maisha marefu,kiufupi madereva wengi tunafanya kazi bila malengo kwa kuamini kuwa kazi tunayoifanya ni kazi yakutumia kipaji na cyo mtaji maana yake madereva tunaamini kuwa kazi yetu mtaji ni uzima na maboss kila siku wananunua vyuma
2026-08-09 16:41:50
0
user61446580557288 :
mh
2026-06-26 13:20:47
0
To see more videos from user @kuro10936, please go to the Tikwm
homepage.