Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga umwangazie ampumzike kwa amani amina
2026-06-25 07:57:42
19
Young~Kadda😎🤏 :
Mungu azidi kuutia moyo wako ujasiri mama yetu kipenzi 🙏🙏
2026-06-25 18:45:11
1
@ Obwenx kidd🤫🙏 :
sorry for the family and God bless bonnie wizzy where he is 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-25 14:44:23
1
@marsbreezy🦋🦋 :
uyu mungu daaaaah jmni 😭😭😭💔💔ni huzuni kubwaa
2026-06-25 13:24:23
3
zaituni :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭hapo ndo mungu alituweza
2026-06-24 13:49:29
5
🥰🌹🌼 :
🕊🕊 pole sana kwa msiba,Mungu agange moyo wako mama.... pole sana
2026-06-24 11:34:22
9
Anna 🎁🎁 :
Pole san kwamsiba mungu amlalaze maahali pema peponi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-25 11:47:44
1
Marryb hange :
mungu ukawe faraja kwa familiya
2026-06-24 15:19:24
4
Princess 255 :
so sad😱😭
2026-06-24 10:48:55
1
jobe :
eee Mungu mlaze mahali pema....
2026-06-25 05:26:26
1
Happy :
pole sana dada jane Mungu akutie nguvu 😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-24 14:30:58
3
Mysterious ~gal.🎀😍 :
Polee mama
2026-06-23 20:40:09
5
queen of peace 🥰♥️ :
in loving Memory Bonn 😭💔
2026-06-25 13:47:04
0
Nurse_mary🩺 :
Polee maaah ❤️🥰Mungu akutie nguvu akawe mfariji wenu 🙏🥰sending hug to Bertha bado ni mdgo hakustahil kupitia hili ila Amn namn tuzid kumuombea Bonn wetu
2026-06-24 05:43:41
4
suparl_killer_82 :
poleee dada 🥺
2026-06-24 07:31:38
2
Pamoja store jersey :
Mungu akutuie Nguvu mama
2026-06-24 12:27:42
1
Johary 🥰💥💢💫🦋 :
Daah pole sana Mama Yangu Mwenyezi Mungu akutie nguvu katika hili Mama yangu
2026-06-24 06:41:01
2
11:11🌴🖤 :
Pole sana mama🙏🏾🫂❤️🩹
2026-06-25 08:48:06
0
majuzagirl :
pole sana
2026-06-24 06:56:00
1
It's Mamu🦋🦋 :
ilikuwa buswelu sehemu gan😭
2026-06-24 11:31:49
1
Norah :
bonn mwanangu bye tutaonana baadae😭😭
2026-06-24 07:18:47
1
Bby villah :
Pole sana mama yangu mungu akutie nguvu🥹🥹🙏
2026-06-23 19:47:32
2
miss❤️ :
😭😭nimekumiss sana Bonnie
2026-06-24 09:30:55
1
officialRegina2025 :
Mungu atayafuta machozi na hasara. It shall be well mamaaa
2026-06-24 08:09:05
1
🦋🦋🥰Mama Africa🦋🦋🥰 :
Pole sana Jane
2026-06-24 04:47:15
1
To see more videos from user @janewine8, please go to the Tikwm
homepage.