@mahela.nyankali: Utatu Mtakatifu. sehemu ya 2🚨🚨🚨🚨

Mahela Nyankali
Mahela Nyankali
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 20:09:43 GMT
50205
3289
132
277

Music

Download

Comments

user5600580360149
lizzy0819 :
MUNGU ni mmoja katika nafsi tatu, MUNGU baba MUNGU mwana na roho mtakatifu
2026-06-25 03:39:58
28
thomas.raphael6
Thomas Raphael :
Mungu ni mmoja wa pekee na wa milele, anayefunuliwa kama Utatu Mtakatifu: Mungu Baba, Mungu Mwana (Yesu Kristo), na Mungu Roho Mtakatifu.
2026-06-25 08:56:44
14
user206922819796
user206922819796 :
Wh didn't He say let us make an in our own IMAGES but he said image, singular.
2026-06-25 17:29:18
0
georgemartin414
Official_canboy1 :
Mungu alikuwa na Yesu kama fundi stadi neno utatu limetoka wapi katika biblia hatutstakiwi kuongeza maneno neno utatu ni hekima ya dunia hii
2026-06-25 03:10:00
3
user733147033575
OlE MELEG :
acheni kutetea utatu apo mungu alikwisha kuumba malaika mbona mwanzo akusema natuifanye iwe anga
2026-06-24 07:53:41
2
hedesathumanmsiga
hedesathumanmsiga :
ukipinga Utatu mtakatifu huto amin Uungu wa Yesu....
2026-06-26 16:52:33
1
wabomba2544
Wabomba💙💙💙 :
Ikiwa Mungu ni Nafsi MOJA utatu unakuwaje
2026-06-25 06:12:52
2
joshuafrancis152
Joshua Francis :
God bless you
2026-06-25 09:33:42
1
ezekia.wilson5
Home boy :
Amen
2026-06-24 17:42:32
2
yeho.patson8
Ñyeho Patson :
mungu mmoja katika nafsi tatu Mathayo 3:16~17,2wakorintho 13:14 .yohana 6:27
2026-06-25 20:20:24
3
emmanuelbahole
BMS emma :
hapo wanzo kulikuwa neno n'a neno alikuwa pamoja n'a mungu naye neno alikuwa mungu naye neno alifanyika kuwa mwili akaonekana n'a watu ....
2026-06-25 20:28:32
3
siza.mzee
Siza Mzee :
Teach us Father
2026-06-24 07:26:25
2
user2102481745258
Jimmy💪💪💪 :
niamina
2026-06-25 14:45:22
1
yonasman445
MR. ¥🗡️✴️✴️4️⃣5️⃣ :
maranatha
2026-06-24 16:19:20
2
user3408810761191
jonh :
Amina mutumishi
2026-06-25 00:41:14
2
gibbonaunga
gibbon aunga :
underline the word our
2026-06-26 08:39:14
0
kim.nyaga
Kim nyaga :
powerful sana
2026-06-26 04:30:44
1
danielmapenzi
Daniel## :
Mungu ni mmoja
2026-06-24 12:06:06
2
user1466088251458
Bishop Dr. Stephen G. Mwangi. :
My favourite scripture! James 2:19.
2026-06-24 11:28:03
5
amosmakenzi761
Amos Makenzi :
Amen
2026-06-23 20:53:28
2
kingtian948
OGRE :
Mungu alikua anaongelea roho mtakatifu pamoja na yesu,
2026-06-25 08:08:52
1
wizzypop01
Irene :
Halelujah Halelujah 👏 👏 👏
2026-06-24 17:11:34
1
thekingofficial
user58545877705 :
Amen
2026-06-24 17:15:18
1
bless.edi
Nebo :
Amina
2026-06-24 17:42:05
1
mkalawa.jacbo
Mkalawa Jacbo :
nakukubari sana muchungaji
2026-06-24 19:12:59
1
To see more videos from user @mahela.nyankali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About