Old is gold wallahy,kweli kitambo ilikuwa raha upendo, imani,huruma, saa hizi maisha yamebadilika roho zimechomeka zimesinya ,Allah atuogoze Ya rabii.
2026-06-25 05:15:54
24
user9987385589716 :
where can I watch the full programme please
2026-06-25 10:03:52
2
🤍بثينه عبد العزيز✨️ :
When life was real, SubhanaAllah
2026-06-24 17:47:07
22
Zahran K. Omary :
hiki nilikiona wakati nikiwa Ilala na marehemu shangazi, huwezi kuyapata haya kwa maisha ya sasa
2026-06-25 01:54:21
12
Buu Hassan :
Dah adi nimeskia naumia tulipotokaa kulikua na upendo sana
2026-06-24 21:54:37
14
mjombadalla :
siku hizi twaishi happy family, baba mama na watoto. Wakti umeenda na barka zake
2026-06-25 10:25:15
10
Magwende001 :
Wallahi wakati huu uliisha subhanallah. This wa good times wallahi,zama za kale. Alhamdulillah nimelelewa through this am glad I had a good childhood. Zaragoza,madobini,Korea,mkanyanyageni,ma papani,kisimani,crazy in short old town we had one love our times from those 1980 to 2000 Alhamdulillah. One love if you from any those are. 🔥🔥🔥
2026-06-24 18:28:37
28
dallazodulla :
hivyo ndio tulivyokuwa tunaishi na kulikuwa na barka na upendo katika jamii
2026-06-24 17:27:25
28
KISIKI CHA MPINGO ♊ :
Those days were so Amazing Masha Allah
2026-06-25 18:33:09
4
yussufvavo1 :
🥹 wazee wetu walikuwa waungwana sanaa
2026-06-24 17:31:51
18
Saadiyah❤️ :
subhanallah tumekulia hivyo wallahi ilikua raha barka tele tele
2026-06-24 18:10:10
14
☆•°AHIR°•☆ :
Wallah nimesisimka mwili mzima kwa upendo nimeumbuka mbali mno tulivyo kua tukiishi kitambo hiko wazazi wetu wali tupa upendo wakweli na malezi ya kutujenga kupendana sisi watoto wao
ALLAH WAPE RAHAM NA BARKA WAZAZI WETU WALIO HAI NA WALIO TANGULIA UWAREHEMU 🥺🥺🙏
2026-06-24 23:37:49
6
Muhammad Abdul :
wakti umepita SubhanaAllah ndio tulikuwa na baraka wakti huo
2026-06-24 16:27:47
9
ahmed_salah152 :
ukweli mtupu zama zilikwenda na wazeee subhanaallah
2026-06-24 17:28:14
5
Victoria Nguzo :
kulikua na neema kweli kabisa
2026-06-24 17:54:59
7
ᵂᵒᵐᵃⁿ ᴱʳᵃ 🌸 :
So nostalgic mashallah 🥹
2026-06-25 16:50:38
2
ICE COLD :
when we were alive
2026-06-25 04:31:53
2
😉Wiboo Waboo🤩 :
Alhamdulillah, I Witnessed & Experienced This Early 90s.... 🤗😇
2026-06-24 20:13:19
5
🌴 Mahfu'udh Abdillahi ⚓⛴️ 🌴 :
Malezi Mazuri Saana MASHALLAH
2026-06-24 17:25:11
6
Ashraph :
SUBHANAALLAH, kweli kabisa zamani jirani tulikua kama jamii moja
2026-06-24 17:44:24
5
Bigbong Tronics :
Allah aziregeshe hali nzuri hizi kwa maisha yetu na kwa maisha ya watoto wetu. These memories shed tears in my heart.
2026-06-26 08:24:09
3
Pacha jr :
funzo
2026-06-25 19:43:27
1
001chefudi :
Alhamdullillah Neema hizo Zilikua kwa Waislam wa mwambao wa Pwani ! MASHA ALLAH akher salaaam!
2026-06-26 06:08:28
1
salumanji83 :
Ule waktiii.hamna tena😢😢
2026-06-25 04:06:06
3
To see more videos from user @guidance313, please go to the Tikwm
homepage.