aloo ihii kitu inaumaa sanaa duuuh mungu wapumzishe kwa amanii mama zetu walio tangulia mbele za hakii😢😢😢
2026-06-24 18:51:22
118
Dady Hu🏇 :
pole but Mtume s.a.w ametukaza kupanda juu ya makaburi ni bora upande juu ya makaa ya moto .
Yafuatayo yatamsaidia zaidi marehem
1.muombee dua
2.msomee Quran
3.mtolee swadaqa
4.watendee wema wale rafiki zake
2026-06-25 13:34:32
88
user9943784088229 :
pole dada
2026-06-25 07:03:29
1
💚swahili kid🇯🇲♥️ :
mpe mamaangu maisha marefu Yarabby 😭😭
2026-06-25 11:06:02
60
Bahati Seifu :
usifanyeee ivyooo kipenz sote tumefiwa na mama tena ivi karibu atuna budi kukaza moyo dear😭😭
2026-06-25 04:23:47
62
azzah mussa 😍 :
kweli msiba auna umri pole sana mungu akupe wa uvumilivu 😌
2026-06-24 18:16:09
34
fadhila :
Pole kipenzi lakini usilale tena hapo Muombee tu
2026-06-24 19:21:05
18
Mabruka :
😭😭ni kweli ukitaka kujuwa utamu wa mama .uliza walo fiwa na mama.na sisi ambaye mama wetu wapi tuwaombe mwisho mwema. ya Allha🤲🫶awape nguvu
2026-06-25 05:27:11
13
Sina chuki na mtu :
pole mummy
2026-06-25 05:15:04
1
Anzi Marambo :
ndo nini sasa
2026-06-24 18:21:00
5
mam shuu :
umenikumbu mbali da naumie kiukweli 😭😭😭😭😭
2026-06-24 19:08:32
6
Stella juma :
Pole sana Dua ndio muhimu
2026-06-24 17:55:13
5
ateba :
iyo mwanzo bdae unasahau
2026-06-24 20:14:45
5
Sonia brand :
pore sana
2026-06-25 04:04:16
1
nazmin :
Poleni saaana wote wenye wazazi ambao wanetangulia mbele za haki
2026-06-24 19:38:40
7
umi sail😍 :
pole dada
2026-06-25 05:06:25
1
Queen :
pole dada😭😭😭😭
2026-06-25 05:18:21
1
Happ🥰🫂 :
polesana mngu akutie nguvu dada
2026-06-24 17:59:34
6
Mwanaidi Khamis :
ucfanye hivyo kipenzi Allah akupe subra,mm pia mamaangu ameondoka lkn tunapaswa tumuelekee Allah
2026-06-25 03:14:25
5
beby aisha :
pole sana hata mimi sina mama
2026-06-24 17:57:52
5
chimili💞💞 :
Pole sana kipenz
2026-06-25 04:54:49
1
RUKIA Rukla :
Dad polesan mim naria😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-25 08:21:01
1
labia :
tupo wegi dada🙏🙏🙏🙏
2026-06-25 08:05:46
1
miss suzy :
pole kipenz
2026-06-25 06:16:16
1
To see more videos from user @appletscollection, please go to the Tikwm
homepage.