@tee_sweetcakes: 🍰✨ Ladha zote zipo tayari kwa uzalishaji wa keki tamu na zenye ubora wa hali ya juu! 😍 Tee Sweet Cakes tunatumia flavour bora zenye harufu na ladha ya kuvutia ili kuhakikisha kila kipande cha keki kinakuwa cha kipekee. 🎂💛💗 📍 Kinyerezi Opposite Songas – Dar es Salaam 📞 0755 957 636 Tee Sweet Cakes – Utamu Graduated! ❤️✨ #CakeFlavours #TeeSweetCakes #UtamuGraduated #BakingWithPassion #CakeBusinessTZ@tee_sweetflavors🍓🇹🇿