@maryam.zanzibar: UKIONA UJUMBE HUU, ANDIKA TU: "NIKO SALAMA." 😂😭❤️ MAMA UNAENDELEAJE LEO? USIKU UMEKUWAJE? USINGIZI UMEKUTOSHA AU BADO NI ZAMU ZA KUNYONYESHA? 😂🥰 MUNGU AWAJALIE NGUVU AKINA MAMA WOTE WANAONYONYESHA. ❤️🙏

Maryam Zanzibar Wellness
Maryam Zanzibar Wellness
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 05:18:23 GMT
162683
4047
556
501

Music

Download

Comments

sp884996
sp🧚‍♂️ :
nyonyo yangu imefika kiunoni
2026-06-24 14:52:32
62
ashmore022
bi aisha :
ana nyonya usiku kucha Hadi asbuhi nasikia kizunguzungu na kichefchef 🥹
2026-06-24 20:30:37
46
esma.humoud
Esma humoud :
niko na madonda 😂😂😂😂 na bado anataka nyonyo 😭
2026-06-24 14:02:14
20
fabam151
FahalProducts🌺🌷🌿 :
Niko sallama, nnaendelea na night shifts😄
2026-06-24 17:06:10
24
missrachel16
Rachel🌸 :
Niko salama naendelea kufurahia zawadi hii kutoka kwa Muumba🥰🙏
2026-06-25 07:58:28
28
glorynanya
glory :
ninaamka na njaa kali.ila ni salama rohoni mwangu👐👐👐😂
2026-06-26 18:14:50
23
annetmrpz2s
Annie. :
niko salama ila nimevimba ziwa nimeng’atwa
2026-06-24 18:48:18
10
asha.mussah
chocolate white 🌟🌟 :
niko salama ila silali usiku mda wote ni kunyonya ♥️♥️
2026-06-24 18:06:22
16
niyongere64
niyongere :
This is me for now 😂😂😂😂😂
2026-06-24 20:09:07
1
levina1514
Levina 💗🙏🏿 :
Niko salama lakini halali usiku tunakesha kulala saa 10 🥺
2026-06-26 07:02:36
6
jacqlinayubu
jacqlin ayubu :
wangu kabisa uyo
2026-06-28 21:12:37
1
fatumahussein398
Mrs Ally 👑🧕 :
Niko pouwa dada
2026-06-26 18:16:29
1
user5465085935212
user5465085935212 :
kwa kweli
2026-06-24 18:06:17
1
jesca.jesca116
madame Farhary 126 :
daaah😂
2026-06-24 19:14:22
1
shulove66
shulove66 :
amina
2026-06-24 19:19:33
1
aisha.adam744
aisha adam :
ai nilijua nakesha peke yangu nina mapacha usiku kunyonya tuuu
2026-06-24 18:23:47
5
mum.n1
Mum N² :
yaan mimi nipo kwenye hali hiyo chuchu zinaumwa zinavutwa atariii bt Asante Mungu kwa kunipa kibinti changu kizuri
2026-06-24 17:37:20
6
nanaqute2
🦋🥷 :
Niko salam ila ananyony mpak nkiw usingizn😅😅
2026-06-24 16:26:16
7
gpm19997
G Hatun :
Tunaonyonywa sasa hivi Tuko wa ngapi maan🙌🙌 hii safari ndefu
2026-06-24 18:38:49
9
areni.edwini.aren
Areni edwini Areni edwini :
niko sarama
2026-06-30 17:40:50
1
phau959
phau💞😜 :
Niko Salam 🥰
2026-06-28 18:22:17
1
agness.hillonga
Agness Hillonga :
hatijambo pole kipenzi
2026-06-28 11:07:47
1
missmwana8
missmwana :
Alhamdulillah, wanajua kunyonya wanangu hadi kukikucha mi hoi 😂😂
2026-06-30 08:55:31
1
roswita.mpanda
Roswita Mpanda :
Niko salaaaaaama
2026-06-30 11:31:42
1
justina2673
justina :
niko salaama
2026-06-26 16:06:18
1
To see more videos from user @maryam.zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About