@_zuzaism: Part 113 | Tunazungumzia siri ambazo matajiri wanajua lakini maskini hawajagundua. Tunaeleza sheria tatu za ulimwengu: Sheria ya Kuvutia (Law of Attraction) - unakivuta kile unachokiwaza; Sheria ya Kutoa (Law of Giving) - kile unachotoa kinarudi kimeongezeka; na Sheria ya Shukurani (Law of Gratitude) - shukurani inazidisha baraka. Tunasema kwamba utajiri hautengenezwi kwa kazi kwa bidii pekee, bali kwa kuunganisha kazi na kulingana na sheria hizi za asili. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #lawofattraction #wealth
zuza
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 13:00:00 GMT
Music
Download
Comments
♏AROY 8 MALIMIX 🦂🖤 :
nazani mi ndio nimekuelewa zaidi
2026-06-24 14:29:30
9
prime_259 :
Mchaka mchaka kaka,marathon continues.Road to the top🔝
2026-06-24 13:40:17
4
puzzle boy :
awesome bro 🔥🔥🔥
2026-06-25 06:06:44
1
G7 :
Hii nikweli kabisa, sema walitulisha matango pori hadi akili zikadumaa.
2026-06-25 06:06:16
3
HOLY KARTEL :
braza una madini sana ngoja nikufollow kabisa
2026-06-25 12:15:00
1
kelcie :
mimi nmezijua hizi laws kwa kuchelewa kidgo ningezijua toka niko secondary kuna sehem ningefika still nazifanyia kaz na maisha kiukwel yanaenda
2026-06-25 04:54:47
6
Eagle 🦅 25 :
bro si uandike kitabu tupate mafunzo kwa mtiririko
2026-06-24 13:26:17
5
tonnietouch82 :
Hard work and Alignment…
2026-06-25 11:48:52
1
Johnsonaire MassiveArmy :
😳
2026-06-25 13:27:23
2
Tweve_Willson :
we tatayrr au badoo
2026-06-25 09:53:44
2
1234lm72 :
48 Laws of power🥰
2026-06-24 18:23:35
1
DIZZO BABY :
Kaka nakufollow... sasahv
2026-06-25 07:34:27
1
ruhamo@67 :
2026-06-24 17:21:52
2
Jafali Juma :
kwaiyo wew nitajiri
2026-06-25 12:54:48
1
Abedy Nalbert :
Asante sana Kaka Sasa tu bless na kitabu kabisa
2026-06-24 15:15:01
3
prime_259 :
Where attention goes,energy flows
2026-06-24 13:41:06
2
ARAFA FASHION :
Asante
2026-06-25 04:52:30
1
YAHSEE YAHUSHAPHAT JOSSE :
nature alignment
2026-06-24 20:51:50
1
pappayake mafresher :
nimekuerewa
2026-06-24 22:39:48
1
J2 kizy :
kaka hap nimekuelewa san
2026-06-24 14:00:30
2
reallymushi :
apo nimekupata mkuu
2026-06-24 15:53:34
2
jasper :
mim namekuelewaaa
2026-06-24 18:26:17
1
Amina Ahmed :
Nakukubari saana kakaaa🥰
2026-06-24 14:24:35
1
💲💎$TËV£💎💲 :
shukrani Sana mkuu 🤝
2026-06-24 18:26:42
1
vandro :
faithfull is much real zuza
2026-06-24 17:43:28
1
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.