@Kelvin🇹🇿:HAKUNA HUKUMU INAYOTOKA BILA USHAHIDI,, KO JAMAA HAJAHUKUMIWA SABABU USHAHIDI MAITI ALIYEUWAWA HAUJAONEKANA,,, ushahidi kwanza ndio mtu ahukumiwe,,, hao jamaa wamejibu swali ambalo ni mtego tu na wamekosea wote
2026-07-23 07:26:21
1
...... :
anything happen after offside is not fault, same wise na apo😁
2026-07-22 03:38:17
0
Hakeem og tha realest.25_🥷 :
Ill sue that court
2026-07-22 12:52:54
0
Kelvin_969_ :
Hans ana mpango gani?😀
2026-06-24 06:11:42
66
Davor01 :
iyo picha ya kiindi Tena ya siku nyingi sana kaka Amita bachani ila yeye alienda kuwa mahakamani ili
2026-07-21 13:55:11
5
*@DETA@*7 :
najua ni mpango wa both team to score no😱😱😱😱👽👽👽👽
2026-06-24 12:35:15
10
Mr Smile😁🫡🤗 :
Story kwenye movie ya kitambo sana ya Amita Bhachani jina la movie Amdha khanoon😁😁
2026-06-24 12:48:21
52
swaiba_tz :
hiyo ni movie ya kihindi
2026-06-24 11:21:09
18
profile pich :
achana kuhungana na watu wew
2026-07-22 01:07:42
1
chekanao :
m namuuwa kwel
2026-06-25 21:55:09
6
Mchekenje JR :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-06-24 11:53:05
6
rwechubodybeauty :
Unaangalia sana movie mzee😂
2026-06-24 12:27:03
8
Official Learner :
hans yupo anapika kitu tusubiri
2026-07-14 22:30:26
1
@swes :
gg
2026-06-26 11:45:21
1
DeE Pablo :
Huyu jamaa ndo alkuwa director kwel??…au co hanscana huyu
Mimi ningemuwa mbele ya mahakama ili nitumikie vzl
2026-07-15 23:25:55
1
Silver Medard :
apo Kuna kuwa na kesi 3
1. kuua ( kesi feki)
2. kutoloka (mfungwa Vs serikali)
3. kufungwa jela Kwa kosa feki ( mshitaki Vs mshitakiwa)
kwaiyo mpka hapo muukumiwa lazima ataludi Kwa muda jera Kwa kosa la kutoloka apo atakuwa anapambana na serikali,
Pia ataweza kumshitaki Kwa kumsingizia ivyo wote wawili wanaweza kwenda jera
2026-07-14 13:36:45
4
MRDT :
HIYO NI VIDEO YA ANDHAAA KANOON
2026-06-26 14:01:41
3
eddo mwak :
hamzaaaaa canunii
2026-06-24 18:43:03
4
Mjomba DDC(Msimbazi Kariakoo) :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-06-24 11:59:16
1
To see more videos from user @kijiwe_cha_kamali, please go to the Tikwm
homepage.